Kama Yesu alikufa na kumaliza dhambi zote iweje dhambi ziongezeke?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habari,

Kwa wale wajinga wa kuamini kila alicholeta mzungu na mwarabu juu ya dini kuwa ni sahihi bila kuhoji, je mmewahi kuhoji huko makanisani mnakotapeliwa ni kwanini dhambi zinaongezeka wakati yesu alikufa msarabani na kuzimaliza?

WAARFRIKA acheni UJINGA wa kukalili leo hii dhambi ni nyingi sana ufitaji,ubadhirifu,ufisadi,usjoha,nk kwanini?

SHIT HOLES NYOTE MNAOAMINI KTK UJINGA HUU
 
Hapa pembeni ya dereva kushoto nikitizama anavyotia gia

Enewei, achana na stori za kipumbavu hizo
 
Habari,
Kwa wale wajinga wa kuamini kila alicholeta mzungu na mwarabu juu ya dini kuwa ni sahihi bila kuhoji,je mmewahi kuhoji huko makanisani mnakotapeliwa ni kwanini dhambi zinaongezeka wakati yesu alikufa msarabani na kuzimaliza?

WAARFRIKA acheni UJINGA wa kukalili leo hii dhambi ni nyingi sana ufitaji,ubadhirifu,ufisadi,usjoha,nk kwanini?

SHIT HOLES NYOTE MNAOAMINI KTK UJINGA HUU
Andika vizuri basi, ni wapi pameandikwa kuwa Yesu alimaliza dhambi zote?
 
Habari,
Kwa wale wajinga wa kuamini kila alicholeta mzungu na mwarabu juu ya dini kuwa ni sahihi bila kuhoji,je mmewahi kuhoji huko makanisani mnakotapeliwa ni kwanini dhambi zinaongezeka wakati yesu alikufa msarabani na kuzimaliza?

WAARFRIKA acheni UJINGA wa kukalili leo hii dhambi ni nyingi sana ufitaji,ubadhirifu,ufisadi,usjoha,nk kwanini?

SHIT HOLES NYOTE MNAOAMINI KTK UJINGA HUU
soma kwanza elewa, usipende kuongea vitu ambavyo huvijui.
 
Hii vita italeta ukakasi usoni huko, ukitaka elimisha watu Jambo weka wazi Kwa ushahidi(Hapa maandiko) kisha fikisha unachoona Sahihi Kwa upande wako. Epuka kuwa sababu ya kuoneshewa kidole Kwa unachokiamini(Dini).
 
Usiongee mambo ya kiroho kama Huna ujuzi nayo! Wewe utakuwa ni mpumbavu, tafsiri ya kumaliza dhambi sio hiyo unayoiamini wewe, maana ya Yesu kumaliza pale msalabani ni hii!! Ipo rehema au toba ya kusamehewa kama ukiitambua dhambi yako na kuomba rehema, msamaha kwa sasa upo haijalishi dhambi zako ni kubwa kiasi gani, ila kwa lengo la kutubu na kuziacha, na kutambua dhambi huja kwa njia Ya neeema yake Yesu ambayo haikuwapo hapo mwanzo, kwa hiyo unapaswa kujua kuwa mwanadamu huzaliwa na asili ya dhambi ya adamu, na muasisi wa dhambi ni shetani, kwa hiyo maadamu shetani bado yupo duniani dhambi haziwezi kuisha, ni uchaguzi wako kuchagua upande wa Yesu usamehewe dhambi zako, au uendelee na dhambi zako baada ya kifo chako ukachemke motoni! Mungu amawachia wanadamu uhuru huo, ili kila mmoja afanye maamuzi yake binafsi, kutokana na wanadamu kuwa na viburi kutokana na elimu zao lakini tambua kuwa kiburi chako kitaisha siku utakapokata Roho ndipo utakapojua Yesu ni nani!! Saivi unakiburi cha uzima kwa sababu unapumua na una elimu yako na fedha unazo, unafikiri Mungu ni mjinga kama wewe! Endelea kujifariji ndugu, kufa kwaja ndipo utakapotamani kupata japo sekunde moja ya kumwamini huyo Yesu lakini utakuwa umechelewa!! Pole sana
 
Unaleta Uzi mwenyewe,
Unacomment mwenyewe,
Kisha unatutukana mwenyewe
 
Wewe ni mpumbavu konki kwa ambapo hawamfuati huyo yesu je nani akiwakomboa na dhambi?

Ina maana mambo ya kiroho waafrikana kama wewe mmeyafahamu baada ya ukoloni kuja na je huko nyuma WAAFRIKA hawakuwa na mambo ya kiroho?

Hakuna mtu atakae tubu kwaajili ya mwenzake na huo ubin-adam ni ushenzi kwani Afrika tunaamini ktk MTU Adam au Hawa siyo WAAFRIKA au wahindi wala wachina,

Leo hii mzazi wako angekuzaa akiwa muislam ungejiita mu-islam na ukapiga debe juu ya ujinga huo leo umezaliwa na mzazi anayejiita mkristo unajii ni wa krito,kivipi?

Acha unafiki wa kuwatuza walio ktk ukoo wa yesu ukawasahau WALIOKULETA DUNIANI waasisi mababu na mabibi zako.

Hata yesu alikuwa na mababu na mabibi zake na ukoo wake upo hadi leo ambao haukutambui hata kidogo
 
Tatizo huwa hamna kumbukumbu,mnaposema pale kalivari yote yalikwisha manake ninj?
Hata kwenye biblia mnayoiamini mmetukanwa ma waliowaletea hiyo biblia kwa mafumbo na waziwazi na bado mnaamini mtafika mbinguni.

Mzungu kakufundisha dunia ni duara na imezungukwa na maji na hewa wakati huohuo anakueleza kuwa kuna mbinguni huko juu utanyakuliwa unaamini na kukesha makanisani.

Jitafakarini msiishi kwa kukaririshwa!!
 
Back
Top Bottom