Tyta embu njoo hapa ufanye ule ufundi wako kabla hatuja msaidia huyu kijana kilaza
Unajua aliingia kwenye facebook na kutafuta watu wote wenye ubini kama wangu aakanitumia na kuniambia anawatumia hii video hao wote pamoja na friends wangu wengine kwenye facebook. Ndugu zangj mimi sio kilaza na nimjanja sana kimaisha ila hii nikiboko imenipafundisho kubwa sana la hizi social media. Kuweni makini...
Evelyn unamaanisha nini?