Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Yaani hela za mieradi ya elimu zinaliwa waziwazi kama vile hakuna sheria ndani ya nchi hii ya kuwadhibiti watumiao vibaya mali za uma
sheria zipi? kama zipo nani alikwishatiwa hatiani?