Kama wewe mchaga usifungue sred hii

Mnyampaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
244
58
Story hii ni joke ya ukweli. Mchaga walikuwa wakipiga story za mademu na msambaa. Ikaenda hivi: Msambaa: We mangi skiza, jana nlikuwa na demu angu si nkampiga denda mpaka akalegea afu nkashikashika nyeti zake mpaka akakojoa aisee... Mchaga: Aise Mgosi we ni **** kweli... Unapeleka mkono huko kwenye nyeti kwani kuna HELA uko kwanza denda ndo hela ngapi?
 
Haya bwana wewe ni noma
 
Ilikuwa zamani mambo hayo sasahivi ngoma droo mpaka chumvini siku hizi wapo
 
Chezea mangi wewe wachaga ndo wanakimbiza hii tz kuanzia elimu adi pesa siwapendi ila wapo juu
 
Hiyo inaonyesha watu wengine mnamaindi nyanda za kusini sana, ss wachaga tupo kikazi zaidi, kusaka mapene zaidi, kutanua mijini kwa sanaaaaa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom