Kama wewe born town kitambo naomba uniambie huu wimbo aliimba nani

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,160
2,000
Kuna jamaa wa Iringa kitambo hicho alitoa song moja kaliiii akapotea mazima,song lilikuwa linaitwa Jackiline

Wimbo ulikuwa na kiitikio hiki

"Mtoto ameumbika,Jackline
sura kama malaika, jackiline
na mwisho wa maisha yake, jackline
ulikuwa wa kutisha, jackline
inasikitisha, jackline"

Dah najua jamiiforum hakikosekani kitu,hii ni google ya Tanzania

Kwa anayeweza nisaidia kuipata hii nyimbo au kumjua analiyeimba hii nyimbo ili niitafute

OLD is Good all the Time

By Deadbody
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom