Kama wasomi mwenyewe ndiyo hawa Tz ya viwanda itakua ndoto

Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
Vipi kuhusu Wewe...?

Mbona maelezo unashindwa kuyatoa kwa uzuri.
 
26df37a712a7e89cabf5cf3b430a8e05.jpg
na hapa je, jibu sahihi ni lipi
=1
 
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
Hata wewe ni kilaza hata kuandika huwezi bora ungekaa kimya.
 
Km unafaham kitu inayoitwa "Magazijuto"huwezi shindwa na kijiswali km hicho
Ama kweli hesabu ni janga la kitaifa.nina uhakika watu wengi na CV zilizoshiba watakosa hilo swali.Kama hakuna mabano unafuata matendo kama yalivyo na jibu sahihi ni 55. Lkn kama kuna mabano (brackets) kama muuliza swali la pili hapo "bodmas" au "magazijuto" inahusika na jibu sahihi ni 9.
 
Acha porojo ww, hesabu yyte ilochanganywa matendo yote km vile +,÷,×,- na ( )kwanza una deal na mabano na km mabano hayapo unadeal na kuzidisha kwanza kisha unafuata matendo mengine kwa mitindo wa"Bodmas".
Ebu jiulize km kungekuepo na tendo la ÷ na - ktk hilo swali bila hata mabano ungefanya km unavosema ww kwa kufuata swali km lilivo.
 
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
Inaonekana na ww ni wale wale. Sasa ww umeandika nn? Mbona hueleweki?
 
Hiyo ndiyo elimu ya shukrani aliyotuachia JK.
Ilikuwa hivi enzi ya utawala wake; mtu hajui kusoma lakini alifaulu darasa la saba aliruhusiwa na akaanza O' level.
Sasa product hiyo ipo nyingi sana Tz.
 
Na wewe ni kati ya hao mkuu au,maana dah,nimepata shida kweli kweli kukuelewa.Mkuu hatuna wahitimu wa vyuo vikuu.Huo ndio ukweli.
Kiongozi, kwenye wasom simo. Nadhani kuna fani hazihitaji kujua hesabu kivile, lakini sikutegemea kama kuna baadhi wameenda kwenye vitengo husika bila uwezo.maana huko utendaji wa kila siku ni hesabu.
 
Back
Top Bottom