Kama wasomi mwenyewe ndiyo hawa Tz ya viwanda itakua ndoto

filadelifia toto

Senior Member
Apr 3, 2017
111
225
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
 
proskaeur

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
1,442
2,000
26df37a712a7e89cabf5cf3b430a8e05.jpg
na hapa je, jibu sahihi ni lipi
 
filadelifia toto

Senior Member
Apr 3, 2017
111
225
Inaelekea unataka kuwasilisha jambo la maana lakini kwa maelezo haya yamejichanganya. Tafadhali fanya editing kidogo.
Sawa mkuu. Nihivi:nimeona jamaa kabandika kwenye Profile yake, engineer Dawasco, cha ajabu.kashindwa hako kahesabu. Namwingine, kwa mjibu wa profile yake ni Technician naye kabugi kaja,Architecture nae kashindwa. Nimebaki najiuliza Hizi fani zao au wanajipachika? Je kama ndiyo watu wetu, Tutaweza kuendesha viwanda?
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,960
2,000
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
Na wewe ni kati ya hao mkuu au,maana dah,nimepata shida kweli kweli kukuelewa.Mkuu hatuna "wahitimu" wa vyuo vikuu.Huo ndio ukweli.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?

Kwani ng'ombe wanajua hesabu??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom