P Pure Mathematics Senior Member Joined Mar 8, 2012 Posts 174 Reaction score 52 Apr 10, 2012 #1 Watu nyomi leaders club, pameshafurika na bado wanaendelea kujaa. Jua kali but hakuna anaejali. Mtu wa watu SK, R.I.P
Watu nyomi leaders club, pameshafurika na bado wanaendelea kujaa. Jua kali but hakuna anaejali. Mtu wa watu SK, R.I.P
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Apr 10, 2012 #2 Asanteni kwa kutuwakilisha R.I.P S. Kanumba
A Amelie JF-Expert Member Joined Oct 13, 2008 Posts 202 Reaction score 83 Apr 10, 2012 #3 Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu
Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,472 Reaction score 4,723 Apr 10, 2012 #4 Amelie said: Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu Click to expand... hivi unaweza kuona wivu m2 akizikwa na watu wengi? au mimi ndio sijaelewa!
Amelie said: Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu Click to expand... hivi unaweza kuona wivu m2 akizikwa na watu wengi? au mimi ndio sijaelewa!
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,542 Reaction score 59,330 Apr 10, 2012 #5 tupia na picha basi, maneno matupu hayana uzito
A Amelie JF-Expert Member Joined Oct 13, 2008 Posts 202 Reaction score 83 Apr 10, 2012 #6 Mlachake said: hivi unaweza kuona wivu m2 akizikwa na watu wengi? au mimi ndio sijaelewa! Click to expand... Ndio kuna watu wanashangaa why this umati kama sio wivu ni nini?
Mlachake said: hivi unaweza kuona wivu m2 akizikwa na watu wengi? au mimi ndio sijaelewa! Click to expand... Ndio kuna watu wanashangaa why this umati kama sio wivu ni nini?
Thomas Odera JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 673 Reaction score 155 Apr 10, 2012 #7 Ahsante kwa waliowakilisha jf ila mtupatie japo picha chache