barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,587
Ukiugua acha kwenda hospitali,hukulazimishwa, unaleta dharau na ujuaji kwenye taaluma usiyoifahamu...watu wanafanya kazi wanahatarisha uhai wao kuokoa maisha wewe unaleta ugoro wako humu.Mi huwa nasema madaktari ni watu wa kuheshimiwa sana ila sio hawa wa kibongobongo, Hawa ni vibaraka vya ukoloni mamboleo!
Bora kunywa mitishamba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
na budget ya maabara inatoka serikaliniHapo kaumbua maabara yetu uchwara inayoitwa ya Taifa, sijui wanajiskiaje wataalamu wetu.
Hayajanikuta manini? Kwa taarifa yako nmewah ugua na hospital za kibongo ilishindikana, nikaenda kuponea kwa mitishamba kwa mtaalamu mmoja huko utengule Mbeya.Hayajakukuta acha upumbavu. Siku ukiugua ndo utajua kwa nini mapapai yana Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajanikuta manini? Kwa taarifa yako nmewah ugua na hospital za kibongo ilishindikana, nikaenda kuponea kwa mitishamba kwa mtaalamu mmoja huko utengule Mbeya.Hayajakukuta acha upumbavu. Siku ukiugua ndo utajua kwa nini mapapai yana Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Praise team mnafurahisha sana! Yaani unataka kumlazimisha mleta hoja ayaandike yatakayokupendeza? Mpumbavu ni mpumbavu tu habadiliki! Kipimo alichotumia kuconclude sicho unachokitaka! Kuwa mpole na acha kumlazimisha jinsi ya kuwaheshimu wazazi wake kwani wako hujawahi kuandika unawaheshimuje!Na bahati Hukua wewe yaonekana huna hata adabu kwa wazazi wako unaonekana hata baba yako unaweza kumuita mpumbavu huna akili wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora angepeleka maabara tofauti na kulinganisha majibu kuliko kufanya ulaghai wa sampuli, mbona proficiency test zinafanyika sana hata kwa kuhusisha maabara zaidi ya 10 kutoka nchi tofauti...
Taifa la watu walioungana linapokumbwa na matatizo, watu huungana zaidi kutatua tatizo. Na taifa lilogawanyika linapokumbwa na matatizo, hugawanyika zaidi na kukoleza tatizo.Data zisipotolewa kunakuwa na kelele kwa nini watu wanafichwa, hili limesemwa ili raia wajue, tunasema tena ASINGESEMA...
Awe anaamua tu mwenyewe sasa maana wananchi wanachanganya sana..
Mi nadhani kikohozi kile si cha corona sijui lakini labda ni dvicoLakini nimemuona mheshimiwa rais wetu anakohoa Mara Tatu akiwa anaongea kuna usalama Lakini? Wakuuu tujuzane maaana kila mtu anaona ebu tupate uzoefu Au ni kikohozi cha kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
UkiuguaUkiugua acha kwenda hospitali,hukulazimishwa, unaleta dharau na ujuaji kwenye taaluma usiyoifahamu...watu wanafanya kazi wanahatarisha uhai wao kuokoa maisha wewe unaleta ugoro wako humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipaswa kuweka neno "nadhani" Basi kwasababu ugonjwa wake haujui.Mi nadhani kikohozi kile si cha corona sijui lakini labda ni dvico
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waone tu!!!Watanzania walivyokuwa mafala wataacha kuchukua tahadhari zote kwa kuamini kuwa kumbe corona ni uongo mtupu
Unaposema vifo vingi visivyo vya kawaida una maana gani?Pia watu wengi wanaopimwa nibwale ambao wameonyesha kila dalili ya kuwa na covid-19.Hivyo sishangai aailimia kubwa ya majibu kutoka +ve.
Halafu, namna ambavyo tunaona kuna vifo vingi visivyo vya kawaida, tunataka kusema huu ni ugonjwa wa kawaida?