Kama vipimo vina hitilafu hadi kutoa "positives" za uongo, basi pia kuna uwezekano wa kuwepo "negatives" za uongo! Ni sayansi sio siasa!

Unbounced,

Data zisipotolewa kunakuwa na kelele kwa nini watu wanafichwa, hili limesemwa ili raia wajue, tunasema tena ASINGESEMA...

Awe anaamua tu mwenyewe sasa maana wananchi wanachanganya sana..
 
Ukiugua
Mi huwa nasema madaktari ni watu wa kuheshimiwa sana ila sio hawa wa kibongobongo, Hawa ni vibaraka vya ukoloni mamboleo!
Bora kunywa mitishamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiugua acha kwenda hospitali,hukulazimishwa, unaleta dharau na ujuaji kwenye taaluma usiyoifahamu...watu wanafanya kazi wanahatarisha uhai wao kuokoa maisha wewe unaleta ugoro wako humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe anasema alipeleka hizo sample kwa ajili ya uchunguzi baada ya kuona majibu mengi ni positive. OK kumbe tatizo majibu kuwa positive, kwa hiyo hapo anatafuta kuhalalisha negative.

Tusubiri majibu negative na kutangaziwa tatizo limeisha. Anajidanganya mwenyewe tu ugonjwa kama huwezi kuuficha utakuumbua tu.
 
Hayajakukuta acha upumbavu. Siku ukiugua ndo utajua kwa nini mapapai yana Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajanikuta manini? Kwa taarifa yako nmewah ugua na hospital za kibongo ilishindikana, nikaenda kuponea kwa mitishamba kwa mtaalamu mmoja huko utengule Mbeya.

Madaktari wa Tanzania ni mabingwa wa kukariri tu! Hawana ubunifu na wamekosa akili ya ugunduzi, wanasubiri wale wa magharibi ndio wawape muongozo.

Daktari gani anashindwa kumtibu mgonjwa vidonda vya tumbo mpaka apitie kitini!!!! Najua tatizo linaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu.

Na bahati Hukua wewe yaonekana huna hata adabu kwa wazazi wako unaonekana hata baba yako unaweza kumuita mpumbavu huna akili wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Praise team mnafurahisha sana! Yaani unataka kumlazimisha mleta hoja ayaandike yatakayokupendeza? Mpumbavu ni mpumbavu tu habadiliki! Kipimo alichotumia kuconclude sicho unachokitaka! Kuwa mpole na acha kumlazimisha jinsi ya kuwaheshimu wazazi wake kwani wako hujawahi kuandika unawaheshimuje!
 
Ni bora angepeleka maabara tofauti na kulinganisha majibu kuliko kufanya ulaghai wa sampuli, mbona proficiency test zinafanyika sana hata kwa kuhusisha maabara zaidi ya 10 kutoka nchi tofauti...

Nafikiri WHO wana refferal Laboratories zao pale inapobidi basi specimen hupelekwa huko eg Africa ni Dakar Senegal au J,burg South Africa
 
Data zisipotolewa kunakuwa na kelele kwa nini watu wanafichwa, hili limesemwa ili raia wajue, tunasema tena ASINGESEMA...
Awe anaamua tu mwenyewe sasa maana wananchi wanachanganya sana..
Taifa la watu walioungana linapokumbwa na matatizo, watu huungana zaidi kutatua tatizo. Na taifa lilogawanyika linapokumbwa na matatizo, hugawanyika zaidi na kukoleza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnachosema ninyi ni makasuku tu, hili halipingiki!!! Sijasema kuwa hamuna msaada kabisa, ila mmekosa ubunifu, kujiongeza pia hamna spirit ya ugunduzi.
Hamutaki hata kuumiza vichwa yanapotokea magonjwa yanayosumbua jamii yenu yaani mpaka msubiri wa ulaya wawaletee

Mfano:mpaka leo madaktari wa kibongo kama sio AFRICA wameshindwa kutofautisha kati ya upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na kutokula mlo kamili na ule upungufu wa kinga unaotokana na kujamiiana

Mmelalalala tu, na misifaaa isiyostahili
UkiuguaUkiugua acha kwenda hospitali,hukulazimishwa, unaleta dharau na ujuaji kwenye taaluma usiyoifahamu...watu wanafanya kazi wanahatarisha uhai wao kuokoa maisha wewe unaleta ugoro wako humu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia watu wengi wanaopimwa nibwale ambao wameonyesha kila dalili ya kuwa na covid-19.Hivyo sishangai aailimia kubwa ya majibu kutoka +ve.

Halafu, namna ambavyo tunaona kuna vifo vingi visivyo vya kawaida, tunataka kusema huu ni ugonjwa wa kawaida?
Unaposema vifo vingi visivyo vya kawaida una maana gani?
 
Back
Top Bottom