Kama USM Algers aliwachapa 2- 1 nyumbani mechi muhimu ya fainali, naamini Jumamosi mnakwenda kudhalilika tena

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,880
3,511
Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao ikiwemo na timu yao ya taifa.

Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.

Yanga walicheza na USM ALGERS mechi muhimu ya fainali na wakachezea 2- 1 timu ambayo haifiki hata nusu ya uwezo wa CRB Kwa hiki naamini kabisa jumamosi watapigwa tena.
 
Hizi kauli zilishapitwa na wakati, kila mmoja ashinde mechi zake.

Kama wao walitufunga kwao, nasi tutawafunga kwetu.
 
Hata ASEC Memosas wawikwa kwao ni hatari sana msimu huu hakuna timu imepata Sare kwao so tujiandae kwa hilo
 
Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.
Unaoneshwa kile ambacho wao wanahitaji wewe ukione. Ulivyo mshamba ukajua maandalizi ndio yanaishia njenje vile. Tulitoa sare hapa na Club Africaine kule kwao tukabonda, USM Alger alitufunga hapa kule kwao tukambonda pia. Monastir alitufunga kwao akaja huku akachezea kilekile. Mpira hauko ivyo wewe ulivyoandika lolote linaweza kutokea ila usirahisishe mambo kiivyo.
 
Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao ikiwemo na timu yao ya taifa.

Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi ni ya nje ya uwanja kama ulozi na kuipa mechi majina ya wachezaji.

Yanga walicheza na USM ALGERS mechi muhimu ya fainali na wakachezea 2- 1 timu ambayo haifiki hata nusu ya uwezo wa CRB Kwa hiki naamini kabisa jumamosi watapigwa tena.
una la kusema sasa?
 
Back
Top Bottom