Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 576
Kama hupo chuo fanya hivi kuwa mbele ya muda itakusaidia sana baada ya kumaliza chuo.
1.Muweke Mungu wa kwanza kwenye maisha yako ya chuo , atakusaidia kufanya maamuzi sahihi , watu gani sahihi pia kwenye mitiani yako ya UE utafanya vizuri.
2.Tumia muda wako wa chuo au likizo kujifunza digital skills mfano graphic designer, code, au ujuzi wowote ambao utakulipa online hii itakusaidia kufanya kazi ukiwa maeneo ya chuo au likizo kama upo home.
3.Tumia mwaka wa kwanza kujifunza digital skills, ingia youtube na maeneo mengine kuwa serious na weka malengo ya kufanikiwa kumaster, kipindi upo chuo akili yako inakuwa vizuri kuelewa vitu vingi hivyo inakuwa faida kuliko kuanza kujifunza ukiwa umemaliza chuo.
4.Tumia mwaka wa pili na watatu kufanya practice(kuingia field) kile ambacho umejifunza, anzia hapo hapo chuo kutafuta wateja , share kwenye mitandao ya kijamii hii itakusaidia kuanza kupata pesa na maisha yako ayatakusumbua sana ukisha maliza chuo una ujuzi tayari.
5.Kama huna interest(kupenda) hizo mishe za online unaweza kuanza kufanya biashara kidogo kidogo na kuelewa mambo yanavyokwenda, pia unaweza kuanza kufanya ufugaji kama nguruwe, kuku n.k hii itakusaidia kupata pesa ya mtaji na kuweza kufanya biashara kubwa.
6.Pia unaweza kujifunza ujuzi mwengine katika jamii kipindi cha likizo kama ufundi radio, selemala, cherehani, bomba , tumia likizo yako kuingiza vitu vingine tofauti na elimu ya darasani hii itakusaidia unapomaliza chuo unaanzia wapi usitegemee sana ahadi za watu kukutafutia ajira mambo uwa yana badilika=maisha sio straight line kama unavyofikilia ukiwa chuo.
7.Achana na mahusiano na kuwa na marafiki wengi, Starehe , ukitaka ufanya ayo mambo 5 juu ni lazima uachane na mahusiano na kuwa na marafiki wengi na starehe sababu utapoteza muda wa kukamilisha ayo mambo, Marafiki wa chuo huwa ni wa muda tu, ukishamaliza chuo ndio utaelewa hilo.
Note;Kufanya hivyo vitu utaonekana upo nyuma ya wakati, itaitaji muda mwingi uwe peke yako ili kuepuka kusumbuliwa na kujifunza lakini mkishaitimu chuo wewe utakuwa mbele sababu unakitu cha kukitoa katika jamii na kuingiza pesa, hivyo utapunguza stress za ajira kama wezako.