Kaguo Willy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 192
- 172
Ujue kaliwa na wajanjaYaani kwa kuinama tuu mtu akakadiria hajafua wiki nzima!...ukiona manyoya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria ipi na kifungu cha ngapi?Hata kama mwanaume na Upo sehemu ya baridi ila nguo ya ndani ni muhimu kubadirisha kila siku na kuwa nazo nyingi
Hahaaaa...¡!!Wanaume hatupendi tabu
tunanunua boxer tunavaa wee siku ukiivua ikasimama dede unatupa
unanunua inginee
kisha rudia juu nilipoanzia
Usafi Binafsi,hulazimishwi cos it's personalKwa sheria ipi na kifungu cha ngapi?
Habari za muda huu wanaJF.
Niende kwenye mada kuna jamaa yangu wa karibu ameulizwa na demu wake kuwa huwa anavaa bukta yake mara ngapi hadi kuifua ? Baada y jamaa kuulizwa swali akajibu inategemea ila mara nyingi kuanzia mara 4 or 5 baada ya hapo nafua.
Baada ya majibu hayo demu akamwambia jamaa kuwa kuna jamaa mmoja bukta yake imechafuka hadi imebadilika rangi kwani tangu avae ana kama 1 week hivi hajafua na ana mke so anashndwa kuelewa kwann hafui ? Lakn jamaa akamuuliza swali kuwa umejuaje kuwa imechafuka ad kubadilika rangi na demu akajbu kuwa kuna siku aliinama na yeye akaiona so jamaa akawa hajaridhika na majibu ya demu wake.So ungekuwa wewe ungefanyaje kutatua swala hili ?
Nmemshauri jamaa atulie kwanza then amhoji demu kuwa amejuaje bukta haijafuliwa wiki nzma ili kupata ukweliKwani wewe umefanyaje baada ya jibu hilo?