T TLAWI AKONAAY Senior Member Joined Sep 16, 2016 Posts 110 Reaction score 62 Jan 10, 2017 #1 hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana zao la chakula Attachments 1484011733297.jpg 43.6 KB · Views: 46
hii ni mwaka moja tu huyu jamaa kalima vitungu saumu na viazi mviringo. amelima zaidi ya eka 5 kauchuma wa maana. sasa kwanini na sisi tusijaribu mazao ya biashara? tatizo letu tunakomalia sana zao la chakula
T TLAWI AKONAAY Senior Member Joined Sep 16, 2016 Posts 110 Reaction score 62 Jan 10, 2017 Thread starter #2 watanzania tubadilike
T TLAWI AKONAAY Senior Member Joined Sep 16, 2016 Posts 110 Reaction score 62 Jan 10, 2017 Thread starter #3 tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu.
T TLAWI AKONAAY Senior Member Joined Sep 16, 2016 Posts 110 Reaction score 62 Jan 10, 2017 Thread starter #4 jamaa sa hvi anaruhusiwa kunywa chai benki. we pamoja na mshahara wako wa mwezi hata choo cha ndani huendi
jamaa sa hvi anaruhusiwa kunywa chai benki. we pamoja na mshahara wako wa mwezi hata choo cha ndani huendi
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Jan 10, 2017 #5 TUFUNDISHENI UKULIMA WENGINE HATUJUI MAMBO YA KIILIMO
W wealthier Senior Member Joined Jul 15, 2015 Posts 106 Reaction score 41 Jan 10, 2017 #6 TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... Mkuu niunganishe na hiyo thread uliyosema umeelekezwa na wataalam. Please
TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... Mkuu niunganishe na hiyo thread uliyosema umeelekezwa na wataalam. Please
W wealthier Senior Member Joined Jul 15, 2015 Posts 106 Reaction score 41 Jan 10, 2017 #7 TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... 1.Umelima wapi? 2.Mbegu umenunua wapi? 3.Zinauzwaje? 4.Kiasi gani cha mbegu kinatosha ekari moja? 5. Utaratibu wa kulima vitunguu maji unatofautianaje na hicho vitunguu saumu? Natanguliza shukrani
TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... 1.Umelima wapi? 2.Mbegu umenunua wapi? 3.Zinauzwaje? 4.Kiasi gani cha mbegu kinatosha ekari moja? 5. Utaratibu wa kulima vitunguu maji unatofautianaje na hicho vitunguu saumu? Natanguliza shukrani
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,807 Jan 10, 2017 #8 TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... Umelimia wapi?
TLAWI AKONAAY said: tufuate maelekezo ya wataalam wetu me nimelima eka 3 ya vitungu saumu. Click to expand... Umelimia wapi?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,641 Reaction score 40,997 Jan 10, 2017 #9 [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]