Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,318
10,021
Wakuu maisha ni kushare love.

Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.

Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.

Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.

Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.

Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.

Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.
 
Ufugaji nao ni fursa nzuri tu. Muhim ufuge kisasa maana malisho siku hiz sio poa Sana , na mapori mengi wamevamia wasukuma. Raha ya Mbarali unaweza fikisha bidhaa zako za mifugo Dodoma , Dar chap Kwa haraka
Sawa sawa
 
Tuacheni masihara. Hakuna sehemu nzuri kwa kila mtu kutafuta maisha. Maisha na mafanikio yanaanzia kwenye akili kabla ya kuonekana kiuhalisia.

Utajiri ni matokeo na sio mchakato, tuachane na hayo. Karibuni ziwa Victoria kwa shughuli za uvuvi unalipa sana, bila kusahau machimbo ya dhahabu na almasi. Njoo na akili yako na mtaji kidogo tu nguvu utazikuta mbele ya safari.
 
Wakuu maisha ni kushare love.

Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.

Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.

Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.

Mbarali kbiashara pia kuna fursa Sana , kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.

Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.

Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10 .
Madibira Kijiji Cha mkunywa. Umenikumbusha mbali sana mkuu
 
Wakuu maisha ni kushare love.

Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.

Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya...
Ardhi bei yake ikoje
 
Back
Top Bottom