Kama unaitaji connection za pesa ndefu

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,616
Reaction score
7,712
Umefanya kila aina ya kazi bado mambo magumu

Umefanya biashara kila aina bado hujatoboa

Ukaambiwa Kuna waganga wanatoa utajiri, umezunguka mpaka sent ya mwishoo umekata hamna kitu

Njoo pm nikupe mchongo wa fast huko kwingine utaendelea kupoteza pesa zako Ila shart uwe na million tatu na uwe tayari kujitoa muhanga

uwe umewahi fanya biashara au unandoto za biashara kubwa coz nitakupima Kwanza uwezo wako kwenye hizo biashara so naitaji mtu mmoja au wawili tu walio seriously
 
Mkuu Evidence Kidogo Tujiridhishe Kama kweli Na Wewe umetoboa?
 
Angetoa uzi mwingine ningekuja, ila wewe mzee ambae bado unakaa kwa mama yako unategea mzee afariki urithi mali utaambulia vichwa panzi wenzio
 
Pale anayedai anataka kukupa connection ya pesa nyingi anapotaka umlipi pesa ndogo ili akupe hiyo connection. Sasa sielewi kwanini hiyo connection asiifanye ikampa hiyo ela ndogo anayotaka.
Na mimi nimejiuliza hilo swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…