Kama unaichukia CHADEMA we ni mchawi, soma kauli mbiu hii mpya

yani wewe unalipwa na serikali ya ccm alafu unasema ni cdm..ngoja wakusikie

Pole sana kwa upofu ulionao, mtumishi wa umma analipwa kwa kodi yako na yangu na wala siyo serikali ya ccm. Mawazo ya watu kama wewe ndiyo yaliyotufanya tuendelee kuwa masikini hata baada ya miaka 50 ya uhuru. kumbuka kwa kwamba sasa hivi tunatawaliwa na mkoloni mbaya kuliko hata waalabu, wajerumani na waingereza walivyowatawal baba na babu zetu.

Funguka ndugu, tuondokane na mkoloni mbaya anayeitwa CCM
 
waarabu hawana akili,wana roho na ubongo kama wa samaki
tanzanians we r smart
ccm wamedhihirisha kua ni mafisadi
chadema wamedhihirisha kua ni wakanda na wana ukabila
katiba safi ndio kimbilio letu..!
Chadema there can go to hell..!
 
kama unaichukia chukua kama ya katani weka shingoni then......................au nenda mjini subiri gari lenye kazi pita barabarani uishie chadema zaidi na mkombozi wa kweli bila chadema mawaziri wasingebadilishwa , bila chadema wakuu wa wilaya wasingetupwa nje nani zaidi?? CDM DAIMA
 
yani wewe unalipwa na serikali ya ccm alafu unasema ni cdm..ngoja wakusikie

kunajamaa yangu Yupo wizara fulani KANIAMBIA KUA SIKU HIZI WATUMISHI WANAKAGULIWA KAMA WANAKADI ZA CCM, sasa umefika wakati wa Kuliweka bayana hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…