Kama unahitaji vitabu vya advanced level physics njoo PM tuyajenge

Kijana ushe2

Senior Member
Apr 6, 2017
176
122
Habari za siku wana jamii forum wenzangu mimi ni mwalimu by professional hivo imenibidi nihangaike huku na huku kutafuta vitabu na mpk sasa namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kupata vitabu muhimu kabisa kwa bei ya kawaida kwa INDIAN BOY mmoja ambae nimekuwa rafiki yake kupitia Mtandaoni Kwa leo nawawekea kitabu cha ROGER MUNCASTER kwa watu watano wa mwanzo kunitext kwa njia ya WhatsApp 0692473755
 
Kwanini usirushe hapa ili watu wapate wengi kama vile wewe unapapata vitabu vingine bure vinavyowekwa na wadau. Kama si bure basi ungeenda direct kwenye point ili watu wajue kuwa offer ni watu wachache kisha utaanza kuuza baada ya kuona mwitikio wao.
 
Chona nimejaribu kuweka kitabu nimeshindwa ndio maana nimeona bora kumi nenda rudi au kama kuna msaaada namna ya kuweka nisaidie
 
Back
Top Bottom