Kama unahitaji kiwanja, hiki hapa

Kama unahitaji kiwanja, hiki hapa

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
kiwanja kipo Mwandege-DSM, kina ukubwa wa unaozidi robo eka lakin hakifiki nusu eka, bei ni Tsh.milion 5 kama una pungufu njoo tuelewane,. sio lazima ulipe yote kwa mara moja, unaweza kulipa milion 1 alaf ukamalizia hela inayobak ndan ya muda usiozidi mwaka 1, aliye serious njoo pm
 
Mwandege ipo wapi mkuu?
 
dah umevunja mbavu yan ofa imepitiliza had inawapa watu woga

sasa badala ya kuchangamkia fursa unaiogopa,kama unaona hii offer imepitiliza we njoo unaruhusiwa kulipa yote,
 
Naona wadau ni kama hawaamini hivi,kama upo serious kiwanja hiki hapa... chance kama hizi zikikupita utajilaumu
 
hapa kuna mtu atapigwa, lazima.

Duniani hakuna uaminifu aicseee, kiwanja kipo tena tunaenda kuandikishana popote unapopaamini wewe mbele ya mashahid wako na wangu, bado unasema atapigwa mtu... kweli nimeamin ukikuta 2 + 2=... kweny mtihan wa form six lazima uulizie 4-figure maana hutoamin kbs kuwa jibu lake ni 4 lazm uhisi umetegwa
 
Kipo km ngapi kutoka kilwa road? Robo eka ni 35 kwa 35? Miundombinu?
 
Nikitoka Mbagala Rangi Tatu, ni umbali wa kilometa ngapi mpaka Mwandege? Usiseme Nauli ya Tshs 400 maana hii nauli ni standard kwa maeneo mengi ya jiji.

Na niishafika Mwandege kituoni ni umbali gani tena mwengine mpaka kwenye kiwanja?
 
Back
Top Bottom