Kama unahitaji chumba na sebule Mwenge DSM vipo

Kama unahitaji chumba na sebule Mwenge DSM vipo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Kama ww ni muhitaji wa chumba na sebule maeneo ya Mwenge (chumba kina choo ndani) BEI 200,000 nichek kwa 0713415537
 
Chumba na sebule laki 2.? Hata kama ni uhaba wa chumba na uroho wa kukaa Dar/Mwenge sio hivi. Hapo ukiweka umeme na maji si ajabu ikafika 250 kwa mwezi.
 
Hiyo kodi mwaka acha utani, iwe cheap kiasi hicho.. em weka picha ya chumba hicho na hiyo sebure, ikiwezekana tupia na map location kabisa
 
Hiyo kodi mwaka acha utani, iwe cheap kiasi hicho.. em weka picha ya chumba hicho na hiyo sebure, ikiwezekana tupia na map location kabisa

Mkuu hiyo laki mbili ni kodi ya mwezi mmoja. Maana yake kwa mwaka mmoja ni 2.4 M kwa chumba na sebule.
 
wakuu maji yapo umeme wa kujitegemea, chumba kina marumaru na ni hapa Mwenge, choo chako chumbani, ww unataka ulipe 50?
 
Kodi za nyuma kw dar sasa hivi ni kero,itabidi tuanze kuwadai kodi hawa watu maana duuu!!!
 
nikweli wapo juu ila watu wanapanga na havitamaliza mwezi,sasa vimeshamaliza ukarabati, ukisem bei kubwa wenzako wanakaa
 
Kisa na mkasa cha kushangaa Kodi ya Pango kwa Chumbakimoja-na-sebule yake
Kuwa Tshs. laki 2.?

Kwa taarifa tu, Mfano;
Mimi ninavyo sehemu Dar hiihii,
Vyumba 2 na Sebule vya $1200, Pia si kwamba hii ndio bei ya juu zaidi,
La hasha, Na-Ndio, Sijakosea ni Dola za Marekani Elfu moja na mia mbili -
(Yaani zaidi ya Shilingi Milioni 2 za Tanzania Kodi ya Pango kwa mwezi mmoja)

Hapo mtasemaje?
 
Hivi watu wengine mpo Tanzania ipi au Dar ipi hasa?

Kisa cha kushangaa Kodi ya Pango kwa Chumbakimoja-na-sebule yake kuwa Tshs. laki 2.?

Kwa taarifa yenu tu, Mfano;
Mimi ninavyo sehemu Dar hiihii,
Chumba 1 na Sebule vya hadi $800 na sio kwamba hii ndio bei ya juu zaidi, La hasha, Na-
Ndio,Sijakosea ni Dola za Marekani Mia-nane -
(Yaani zaidi ya Shilingi Milioni moja na Laki tatu ya Tanzania kwa mwezi mmoja)

Na wapo Wateja unaweza ukampeleka kuiona hii kisha akaikataa,
Kwa kuwa haijakidhi kiwango anachotaka na hivyo atafutiwe nyingine bora zaidi.

Yaani hoja kwake si Pesa, Hoja ni Kiwango na Ubora wa Mali.
Pia wapo miongoni mwao Waswahili kama wewe na mimi wanaishi maisha ya level hiyo.

Wakati wewe unatembea kuitafuta mafanikia, Wapo wenzako wameshayapata na wanayaboresha zaidi kwa kasi ubwa sana, Jaribu kustuka sasa na anza kukimbia kuwaiga wao sasa,
Mh!, Wenzako na wataona kukimbia sio dili wataanza kupaa kabisa,

Kifupi nakupa Somo la bure:
Jipange kimaisha, fatuta mafanikio badala ya kupiga bwanya na kuona kuwa kila kitu nikigumu
na hakiwezekani au hakipo.

Habari ndio hiyo.
 
Bado vyumba vipo karibuni
 
Kama ww ni muhitaji wa chumba na sebule maeneo ya Mwenge (chumba kina choo ndani) BEI 200,000 nichek kwa 0713415537

kaka, ni mwenge sehem gani? unaweza kuweka picha kadhaa hapa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom