juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Leo jioni saa 12 nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari katika redio E fm ya jijini Dsm,nimesikia habari ya kwamba makamu wa raisi wa China katuma salamu za pongezi nchini Zanzibar juu ya ushindi wa Dr Shein.na wamesisitiza kuwa wataendelea kushikamana naTanzani katika kuimarisha uchumi siiu zote.sasa wewe mwenzangu na mimi ambaye ulidhani hizo nchi zitatuwekea vikwazo basi ujue unajidanganya tu,hata nchi aahisani zingine zitaendelea kuwa pamoja na Tz tu,hapa pana fursa za wao kunufaika bhana,harafu we unadhani wakikata misaada watanufaika vipi? Sasa kama China imepongeza ushindi wa kishindo aliopata Dr shein unategemea nini? Ukawa tujipange upya sana la sivo tutapelekwa na ccm hadi tuombe pooo.