Kama unadhani shule ngumu haya...subiri

Huyu ndo mwanaume sasa.
sio nyie mnaokaa kutwa maofisini huku mkipulizwa na viyoyozi
 
mwanaume bila mateso lazima uwe bwabwa. Imeandikwa utakula kwa jasho mkuu.

Asante mkuu.
....Uwanaume sio sura, maana hata mbuzi anayo.
mwanaume ajue shughuli ya kitandani na ajue kutafuta pesa.
 
Huyu ndo mwanaume sasa.
sio nyie mnaokaa kutwa maofisini huku mkipulizwa na viyoyozi

then akifika kitani ni kulala tu, akibaatisha ni kimoja na mtoto patika ni lazima awe wa kike kutokana na kazi anayo fanya.
 
Afu 'baby nyule zimeota naomba niende saloon' sh*****zi kabisa!
 
Ha ha ha haaaa,, kwa nini unaamini hivyo,,?

Mie nina amini mwanaume anaefanya kazi ngumu kama hizo, kitandani pia lazima atumie nguvu kunikamua, so kwa sie wapenda mapenzi ya style hizo, huwa nafarijika sana na kumpenda mwanaume anaeshughulika na kazi ngumu.
 
then akifika kitani ni kulala tu, akibaatisha ni kimoja na mtoto patika ni lazima awe wa kike kutokana na kazi anayo fanya.

Hata kama atanipiga kamoja, lakini atatumia masaa hata manne
 
mwanaume bila mateso lazima uwe bwabwa. Imeandikwa utakula kwa jasho mkuu.

Sasa acha kusimamia watoto wako wapate elimu bora!
Ili waje wavuje jasho la damu wakikuuliza "wajibu"mwanaume ni mateso mwanangu!
Tafsiri ya kwenye kitabu cha mungu mwanaume atakula kwa jasho sio jasho la kupasua mawe maisha yako yote lile neno lina maana pana kijana.
 
Mie nina amini mwanaume anaefanya kazi ngumu kama hizo, kitandani pia lazima atumie nguvu kunikamua, so kwa sie wapenda mapenzi ya style hizo, huwa nafarijika sana na kumpenda mwanaume anaeshughulika na kazi ngumu.

Noted!!
Kuna ka_siredi nakasoma kule kwenye jukwaa lako, niko busy mno japo situmiii maguvu!!
Teh!!
 
watoro wa shule waendelee na utoro wao.
wanaotafuta division 5 nao waendelee kuchezacheza.
 
Mwanaume anasifiwa kwa kazi ngumu, pombe kali na mademu wanene! Baaaasi! Sifa zingine za kijinga tu-mbwembwe
 
Hiyo shughuli ya hao jamaa hata gerezani wanakula bata tu...the concrete is too thick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…