Kuwa makini huyo mwanamke anaweza hata kuku ua huko mbeleniStory yako aiseee, Kwanza natafakari jinsi ambavyo ulivyokuwa na kifua Cha kuimili yote hayo, Mimi ndoa ingekufa siku ambayo ningefahamu yote hayo!!! Pole Sana ndgu jitahidi kufanya fanya na Ibada na Maombi MUNGU asimame Kati yenu