ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,132
- 9,499
Hahaaaaa hiyo family haipendagi ugeniWatoto nao kwa kuropoka.... Mgeni kauliza "mbona paka wenu ananiangalia sana ninavyokula?" Mtoto akaropoka "labda kwasababu wamekupakulia kwenye SAHANI yake!". ungekuwa ww ndio mgeni ungefanyaje??????????