Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

USIJIONE MJUAJI SAAAA…NA. Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufika nyumbani. kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamua kurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao. Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi, akawaambia "hawa kuku unaona wako wawili ila kwa kutumia sheria za arthematic na geometric kuna kuku watatu mezani" mama"hee embu tuoneshe mwanangu" jamaa akachukua kuku ya kwanza akainua juu "ngapi?" wazazi"moja" akainua wa pili "ngapi?" wazazi "mbili" akawarudisha akisema"wazee wangu nadhani japo shule hamkwenda ila mnajua moja+mbili=tatu so tuna kuku watatu mezani" baba"mmh kweli mwanangu umesoma. SASA TUFANYE IVI MIMI NACHUKUA KUKU MOJA NA MAMA YAKO WA PILI WE UTAKULA UYO WA TATU ULIYOSEMA
hiyi imenimaliza kudadadeki
 
Uvivu wabongo tumeanza mbali muone huyu baada ya kuchoka kusali Kila siku akaamua kuandika Sala kwenye karatasi na kubandika ukutani kwa hiyo ukifika muda wa kulala akawa anasemaje"ee Mungu Kama kawa pale ukutani AMINA" Kisha analala😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kwenye gari tulikuwa kibao mpaka wengine mlangoni likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende sit kibao mpaka utalala Bibi - oooh sawa mjukuu wangu Konda - simama tu apo wanashuka mbele Bibi - akacheka sana tu Konda- mbona unacheka bibi Bibi - mjukuu wangu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele Watu- simamisha gari Saivi bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma😂😂 😁😁😁😂😂😂
 
Majambazi baada ya kuvamia na kufanikiwa kuiba ng'ombe wote si wakamchukua masai na kumfunga kamba kwenye mti kisha kuondoka zao.
Asubuhi palipokucha watu wakamuona masai kafungwa kamba si wakaenda kumfungua kisha kuanza kumpa pole.Nasai akajibu pole mpeni huyo ndama maana alidhani hii naniliu yangu ni chuchu ya mama yake yaani kainyonya usiku kucha kanipigisha bao 7 yaani hapa nilipo mwili wote unavuta.
 
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu

JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu

RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana

JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana ananificha, mi naita huu ni usaliti wa ndoa.

RAFIKI: Nini tena?

JAMAA:Nimegundua mke wangu kumbe anafanya biashara ya kitimoto na hajawahi hata kuniambia

RAFIKI: Kitimoto? We umejuaje?

JAMAA: Leo asubuhi nilichelewa kuamka niliamua nijipumzishe kidogo kabla ya kwenda kazini, simu ya mke wangu ikalia, nikaamua kuipokea, kabla hata sijafungua mdomo, nikasikia sauti ya mwanaume mmoja akauliza, “Huyo nguruwe umeshamuondoa?’
 
Majambazi baada ya kuvamia na kufanikiwa kuiba ng'ombe wote si wakamchukua masai na kumfunga kamba kwenye mti kisha kuondoka zao.
Asubuhi palipokucha watu wakamuona masai kafungwa kamba si wakaenda kumfungua kisha kuanza kumpa pole.Nasai akajibu pole mpeni huyo ndama maana alidhani hii naniliu yangu ni chuchu ya mama yake yaani kainyonya usiku kucha kanipigisha bao 7 yaani hapa nilipo mwili wote unavuta.
 
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo yakafuatia: Mkulima: Baba yako yupo? Mtoto: Hapana Mzee, amekwenda mjini. Mkulima: Mama yako? Mtoto: Nae kaenda mjini na baba. Mkulima: Kaka yako Howard yupo? Mtoto: Nae hayupo, wote yeye, baba na mama wamekwenda mjini. Kwani una shida gani? Kama kuna kitu unahitaji niambie maana nimeachiwa funguo na najua vifaa vinapowekwa. Mzee akawaza kidogo halafu akasema: Kwa kweli nilitaka kuongea na baba, mama au kaka yako kwa kuwa kaka yako amempa mimba binti yangu. Mtoto akafikiria kidogo halafu akasema: Kusema ukweli itabidi umsubirie baba, ila kwa kukusaidia ni kuwa baba hulipisha shilingi laki moja kwa kupandisha dume la ng'ombe na elfu hamsini kwa beberu. Ila sijui baba hutoza shilingi ngapi kwa Howard akifanikiwa kutia mimba.
 
Three robbers break into a bank, but when they open the safe, they find only boxes. One robber opens a box and finds cups full of yogurt. "We didnt find any money, but we got something to eat," he tells his partners. They eat their fill and leave. The next mornings newspaper headline reads, "Worlds Largest Sperm Bank Robbed."
Hahahaha
 
Majambazi baada ya kuvamia na kufanikiwa kuiba ng'ombe wote si wakamchukua masai na kumfunga kamba kwenye mti kisha kuondoka zao.
Asubuhi palipokucha watu wakamuona masai kafungwa kamba si wakaenda kumfungua kisha kuanza kumpa pole.Nasai akajibu pole mpeni huyo ndama maana alidhani hii naniliu yangu ni chuchu ya mama yake yaani kainyonya usiku kucha kanipigisha bao 7 yaani hapa nilipo mwili wote unavuta.
hahahhahahahaaa
 
Mshkaji wangu ametangaza kuacha bhangi baada ya kuvuta na kupita kambi ya jeshi kijiti cha ukweli akaanza kuwaita wajeda nyinyi sio askari ni migambo flan tena sungusungu tu baada ya hapo hakumbuki kilitokea nini ila alijikuta hospital anamuona mama yake na dada yake .Mama akamwambia dada ameamka mpozee uji anywe jamaa akaropoka nimejifungua mtoto gani? bimkubwa wake akazimia
 
Back
Top Bottom