Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mlevi alikutana na mchungaj...mazungumzo yakawa hivi:
Mchungaj:unakunywa bia ngap kwa siku?
Mlevi:nakunywa bia 5
Mchungaj:kila bia kiasi gan?
Mlevi:2500
Mchungaj:kwahyo unatumia zaidi ya sh elf 10 kwa siku?
Mlevi:ndiyo
Mchungaj;ungekuwa unahifadhi hiyo pesa si ungeshanunua Range Rover?
Mlevi;samahan naomba nikuulize swali
Mchungaj:uliza
Mlevi:unakunywa bia?
Mchungaj;hapana
Mlevi:nioneshe Range Rover yako
*mchungaji akasepa!
 
MADEMU wa kizungu mkifika chumbani anakukumbatia anakubusu huku anatoa miguno na kuongea kwa mapozi...anahema kwa hisia tarativu anaingiza mkono ndani ya suruali kuicheck dushelele anakuvua shati anakubusu kifuani na kukuambia babie I love uuuuum proud of you honey...
Taratibu anavua nguo zake na ww anakuvua zako kwa mapozi hadi raha mwisho kazi inafanyika mkishamaliza akakuambia babie thank u u'r so sweetie .....

SASA NJOO SASA BONGO
%90 WAKO HIVI
likishafika mkiwa chumbani ile unataka uanze kumuandaa unaskia ahaaaaaa we tulia kwanza mbona unaharaka kama cha kwanza????

Kwanza nipe HELA yangu ya bajaji halafu naskia njaa niagizie chips kuku nusu na mishikaki na coca baridi. ..

Akimaliza ukitaka kuanza unaskia ngoja kidogo chakula kishuke banaaa

Ukianza unaskia linakuambia halafu tusikae sana nisichelewe kwetu si unajua leo zamu yangu kupika?
Ukiwa unamuandaa unampapasa unaskia bana niniukoo linacheka eti unanitekenya.....

Ukute sasa nguo ya ndani imechakaa utasikia fumba macho usinichungulieukifumba tu kanavuliwa kisha kanatupwa chini ya uvungu kama kitanda kina uvungu ila kama hakina halafu kimebanwa ukutana basi katachomekwa kwenye godorokisha zoezi linaanza

Ukimaliza mkiwa mmepumzika utaskia linakuuliza hapa ndio unaletaga mademu zakoeee......ukiliambia hapana unaskia ulipajuaje???

Mara babie halafu naomba elfu 20 ya kikoba halafu pia nina shida na elfu 50 niliazima kwa rafiki yangu ananidai. ....Mara mafuta yangu na cream vmeniishia Dah hapo ndio kabisaaaaa dushelele inalala steam zinakata....

Ukimaliza ndio mnataka kuondoka unaskia NIPE NAULI ukilipa buku tano utaskia hii inatosha nn sasa????

Ikikugusa njoo kusanya mapovu kasafishe chooni leo ni siku ya usafi
 
Sometimes nikisoma Bible huwa namchukia shetani sana...
Yani imagine alikua anamshawishi Yesu abadilishe mawe yawe mkate....

Inamaana sasa hivi Nyumba zetu tungekua tunajengea mikate....?

Kwaiyo kama umejenga kwenye hifadhi ya barabara Tanroads wakija na chai tu... Wanaikula Nyumba yako yote.....

Asee namchukia shetani na idea zake zote....
 
Umeshawahi jikuta unaenda kwa ofisi ya mtu bahati mbaya nguo ulizovaa zinafanana na wale wafanya usafi.. Ile unaingia tuu unadakwa juu juu "mbona hapa hamjadeki, madirisha hamjafuta vumbi na ule uchafu pale chukua upeleke kwenye dampo"

Hapo ndio utajua kwanini rege inachezwa kwa kuruka ruka..
 
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa
 
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa
Numby wewe titakupiga mawe siee,shauri yako
 
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Benzemaa
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi: kipaaaaaa
Ticha: nani kafunga?
Wanafunzi: Baleeeee
Ticha: aliye assist?
Wanafunzi:kipaaaaa
Ticha:mani of the mechi?
Wanafunzi: Ramosiiiiiii
Ticha: mmetishaaa
Wanafunzi: kama kipaaaaaaa
Numby wewe
 
Unakumbuka enzi hizo miito ya milo kwetu uswahilini!?Kama ni kande:Jumaa...unaitwa na mama....Ugali:Jumaaa.....Jumaaa.....kutengaa.....Wali kuku:Jumaaaa.....shauri yako....Wa uzunguni hamjui hii mambo
 
BAC MKUU WA MKOA WA MBEYA akawauliza mafarisayo na wananchi WA MBEYA "niwape SUGU au YANGA ambaye Hana HATIA..... (mkuu wa Mkoa alikuwa anataka kumtoa YANGA mikononi mwa wana MBEYA).... Wananchi WA MBEYA wakapaza Sauti zao...... tunamtaka SUGU, tupatie SUGU, Tupe SUGU, Msulubishe YANGA, Msulubishe.... Mkuuu wa mkoa akauliza je huyu asiyekuwa na HATIA (YANGA) asulubiweee na apigwe misumari bila kuwa na hatia?, wakasema asulubiweeeee, Bac MKuu wa mkoa akanawa mikono , kisha akasema dhambi iwe juu yenu, juu ya watoto wetu Bac MKUU WA Mkoa Akamfungulia SUGU na akamtwaaa YANGA na akawapatia wana PRISONS wamfanye watakalo. Basi wakamchukua wakamfanyia kila Dhihaka wakampigilia misumari 2 na kumtundika SOKOINE wakaweka na kibao juu ya msalaba huyu ndiye CHURA HALISI, basi Alikuwepo Akida mmoja anaye toka SIMBA kusema HAKIKA Huyu CHURA Alikuwa na HATIA.
 
Back
Top Bottom