``AINA ZA USHUZI''
01. Sillent Ninja Killer- Hutoka kwa force kubwa halafu kimya kimya. Harufu yake ni kali sana. Ni nzuri kutumia uwapo katikati ya watu wengi.
02. Diarrheal Thunder- Hutokea mara nyingi unapojiskia kunya halafu ukabana kwa muda mrefu. Pale unapoenda sasa kupupu hutokea ngurumo kama za radi kabla ya kinyesi kushuka.
03. False Alarm- Huja kama vile mavi ila ukienda chooni ndo unajua kuwa ni ushuzi tu.
04. Releasing The Valve (Tester) - Hutokea pale unaposikia msukumo wa hewa tumboni ukiwa katikati ya watu wengi. Ili wasistuke unaachia kidogo kidogo mpaka umalize.
05. Suddenly Fart- Unapocheka sana, kupiga chafya, kukohoa kwa nguvu, kushtuliwa au kubeba kitu kizito unajikuta umekaachia. Uzuri wake hainuki sana.
06. The classic- Huwa na mlio mkubwa halafu ndo ushuzi mkubwa kuliko wote. Ukiwa umekaa na watu ukaachia ukinyanyuka lazima wakuangali nyuma kama hujapasua nguo.