Mkuu umesema watu wenye stress tupitie hapaHilo umeona ni jambo la kujivunia?
Utakuwa una msongo wewe, ...
Okay, kumbe unaielewa hali yako!mkuu umesema watu wenye stress tupitie hapa
Una umri gani?sijaelewa
Hakuna haja mkuu endelea na hadithi yako.Una umri gani?
Kwani hujatu100 kinga?Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTEMKAPIME"Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sanaHarusi sijui lini anapenda kushtukiza sana
Basi utaondoka na stress..!Mimi sina stress nimejikuta tu hapa