Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,702
- 3,352
Ukiona kwenye familia yenu kuna mambo haya, jua kuwa una mapambano makali sana na usipokaa imara nawewe LAZIMA uzame.
1. Kuwa na imani iliyopitiliza kwa vitu vya kufikirika.
2. Kusadiki kindakindaki mambo ya uchawi/ulozi/sangoma.
3. Kuamini kuwa hauwezi kutoka bila kuwafitini wengine na kupiga majungu .
4. Kuamini unaweza kutajirika kwa njia za mkato na harakaharaka.
5. Kuamini kindakindaki kwenye miujiza na rehema ya mja bila kufanya kazi.
6. Ushabiki kindakindaki na uliopitiliza kwenye michezo kama mipira, betting, ngumi.
7. Kuwa na uoga wa mawazo mapya na kuyafanyia kazi mawazo mapya.
8. Kuamini hauwezi kutoka bila kuwa chawa na kujikomba.
Endelea....