Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawiliJe, speed ya internet ipoje?
Nashauri jiunge na TTCLNafikiria kuanza tumia huduma yao.
Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.How reliable are they?
Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.Ningefurahi mrejesho wako, nifanye maamuzi sahihi.
Kila nipitapo na kuona comment yako huwa nasoma tuu maana najua itanifaa kama hiii asanteSpeed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka
Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/
Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.
Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.
Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
Internet ni moja ya mahitaji muhimu kwa sasa, kulingana na shughuli zetu zinazohitaji kuwa connected online 24/7, na kila siku tumekuwa tukitafuta ISP ambaye anatoa huduma bora za internet [ Quality service with reasonable price] , Kila kampuni ina changamoto zake, ila yule mwenye unafuu ndio tunamtumia zaidi..Kila nipitapo na kuona comment yako huwa nasoma tuu maana najua itanifaa kama hiii asante
Kwahiyo bora nitumie TTCL kuliko Smile?Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka
Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/
Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.
Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.
Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
NdioKwahiyo bora nitumie TTCL kuliko Smile?
Nilikuwa natumia smile ngoja nihamie TTCL. After all Smile coverage bado ni ndogo. Baadhi ya mikoa hawapo. Mfano Kusini, Zanzibar haipoNdio
- Speed inakidhi mahitaji.
- Ghalama za vifurushi vya internet ni chini zaidi kwa sasa, ukilinganisha na mitandao mingine
Hawa smile maeneo ya malamba mawili mtandao wao unafika?Speed ya internet kwa huu mtandao inategemea mambo mawili
1] Location uliyopo
2] Aina ya kifurushi ulichoweka
Ufafanuzi - Baadhi ya maeneo kasi ya internet ni kubwa, na ukienda location nyingine kasi ni ndogo.
Wana vifurushi vya aina mbili
- 1. Unlimited speed - hivi vifurushi havina kizuizi katika kasi ya internet, Maximum speed yao ni 21mps , Ila sijawahi pata hii speed,
- 2. Kuna vifurushi ambavyo speed unapiwa kati ya 2mbps hadi 6mps
Waweza angalia maelezo ya vifurushi/ speed zao hapa: https://smile.co.tz/data-bundles/
Nashauri jiunge na TTCL
- Ni nafuu (ghalama), na speed inaridhisha.
Kwa eneo nililopo kukatika kwa signal ni kawaida, nilikuwa nalazimika kuweka WiFi modem dirishani ili isikate, hakuna kitu kinakera kama kuweka kifurushi cha internet then ukose huduma.
Hayo machache niliyo andika yatakusaidia kufanya maamuzi.
Kifaa chao hiki hapa nimetunza kwenye droo
View attachment 1076560
https://smile.co.tz/coverage/Hawa smile maeneo ya malamba mawili mtandao wao unafika?