Msahafu na kumpa mtu kilevi alewe, sidhani.Kuna maneno ya msahafu yanasema .. Mpe kilevi mwenye tabu ANYWE ALEWE asahau shida zake!
Ameeen kwa laana za wachoyo wa hiyo kitu yenye sura mbaya😃😃😃
Kwa picha hizi wewe utatoa lock za juu na chini.Leo mapema tu lock zinafunguliwa
Naona ushaandaa na chakula hapo pembeni.....Leo mapema tu lock zinafunguliwa
AiseeLeo mapema tu lock zinafunguliwa
AmeeeeeeeeenMithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake”.
Hawa tuwafanye hiviWalevi wa madaraka nao umewaalika waje kupiga stori?
Waje watueleze ni Kwa nini wakilewa hupenda kutematema mate kama kina mama wajawazito?
Mimi ni mutu ya MunguAmeeeeeeeeen
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.wengine tunanasa na beatView attachment 3076363