DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Wanapenda sana vitonga wanataka wamkute mwanamume ana kila kitu lazima akunyanyase maana hauna mchango wowote kwenye mali zakeWenye pesa ni wanyanyasaji mno
Sindio wanaita kulilia kwenye Range Rover πππWenye pesa ni wanyanyasaji mno
Wana kamsemo kao ni heri kutesekea kwenye biem dabli yu kuliko kwa masikin, bas acha wakipate wanachokitakaSindio wanaita kulilia kwenye Range Rover πππ
Wakiondoka wakawa mtaani mnakuja kuwacheka ni single moms, walioshindwa kujenga familia wamekimbilia uhuru.Ukiitukuza ndoa hiyo ndiyo hasara yake
Utanyanyasika na kuondoka huwezi