Brother Hemedi
Member
- Jun 21, 2016
- 19
- 39
Mlinga then Lulukila, kitambo sana aisee.Enzi za headmaster Lulukila simu ilikuwa free.. kweli Ndanda imebadilika.. siku hizi mnalima.. safi sana
Kitambo sana... mambo ya Lizangati na maembe Ng'ong'oMlinga then Lulukila, kitambo sana aisee.
Ndanda mwaka gani wewe mkuu nilikuwa pale 2009-2011Enzi za headmaster Lulukila simu ilikuwa free.. kweli Ndanda imebadilika.. siku hizi mnalima.. safi sana
Ndanda mwaka gani wewe mkuu nilikuwa pale 2009-2011
Kitambo sana... mambo ya Lizangati na maembe Ng'ong'o
Mlinga then Lulukila, kitambo sana aisee.
Hahaha nendeni mkachukue watoto zenu mwena kule sasa watakuwa washakuwa wakubwa... Nilikuwa pale 2007 enzi za Millinga simu ilikuwa free, hakuna kulima, vuta hata miezi hakuna atakayekubudhiEnzi za headmaster Lulukila simu ilikuwa free.. kweli Ndanda imebadilika.. siku hizi mnalima.. safi sana
Wazee wa mwena... Madeko... Kiwanja chetu cha starehe vila park.... MpowolaaaNdanda almarufu NDABO BOYS....ama OPEN UNIVERSITY.....ila lulukila alikuwa mjanja wa maneno sana.....Umesahau kuwambia kuwa kuna TOP LAYER na COBWEB security........Umeme ukikata waende ABASIA .........Ndanda hadi raha......
Jumapili tunajikata Masasi... watoto wa Masasi girls ndo walikuwa vipoozeoWazee wa mwena... Madeko... Kiwanja chetu cha starehe vila park.... Mpowolaaa
Kulikuwa kunaitwa zooJumapili tunajikata Masasi... watoto wa Masasi girls ndo walikuwa vipoozeo
SowaniMlinga then Lulukila, kitambo sana aisee.
Sowani marehemu R. I. PSowani
Acha uwongo wewe.... Umesoma huko?... Ndanda kuna ushirikina gani?... Mi nimesoma huko miaka miwili cjawahi shuhudia tukio hata moja la ushirikina... Kuhusu matokeo inaangalika na mtoto wako... Ss mwaka wetu tulikuwa karibia 150.... Zikatoka zero sita tuu... Acha uwongoHii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.
Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.
Pia wana ushirikina sana
Nmesoma Ndanda na nimefaulu vizuri tu.Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.
Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.
Pia wana ushirikina sana
Hii shule ovyo kabisa matokeo ya form 6.
Nashauri bora kwenda Private kuliko huko.
Pia wana ushirikina sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo anaogopa kurongwa wakati kuna wengne waliokosa nafasi ya kuchaguliwa kidato cha tano yeye anataka kuchezea chance duuuh dogo anazingua.Acha uwongo wewe.... Umesoma huko?... Ndanda kuna ushirikina gani?... Mi nimesoma huko miaka miwili cjawahi shuhudia tukio hata moja la ushirikina... Kuhusu matokeo inaangalika na mtoto wako... Ss mwaka wetu tulikuwa karibia 150.... Zikatoka zero sita tuu... Acha uwongo
Matozy....[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo anaogopa kurongwa wakati kuna wengne waliokosa nafasi ya kuchaguliwa kidato cha tano yeye anataka kuchezea chance duuuh dogo anazingua.