Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Saa nne usiku nimeingia na demu mmoja anaitwa Oliver pale Sepetu Guest House mitaa ya Mwinyi Tabora.
Nilikua namfundisha Tution ya Chemistry alikua form five Kaliua Secondary ipo Urambo.

Kucheki nikagundua nimesahau kununua Soksi. Kutoka pale reception muhudumu akasema hana.
Kutoka mtaani maduka yamefungwa yoteee... Kubabake walay...
Nikapiga hesabu, kwahiyo niende nikamtafune nyama kwa nyama??? Akiwa na UKIMWI??

Na hivi kule Kaliua wanasoma mixture nasikia walikua wanagongana kichizi...
Nikasema Astaghfirullah mama yangu ananitegemea mie. Nikapata na wazo la kurudi home usiku sikurudi Guest.
Na hivi sikua na cm, demu sijui alilala peke yake siku ile.
Sheikhe.umefanya makosa makubwa sana.hilo shamba ningekuwa mimi ningelilima bila jembe
 
"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????
hahaha
 
Tehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo
Hahaha...pole sana mkuu, ila jinsi ukivyomdescribe daah
 
Kwangu alikula bia nyingi sana kucheki 150000 pamoja na kuku sana ,nikampa chake 40000 kabla gemu nikajifanya kulala kumbe namchungulia ,hela akazungushia kwenye chupi na kuweka kwenye tendego la kitanda akakoroma baada ya hapo nikachukua zote na chupi nikaficha chini ya ndoo bafuni nikarudi kulala asubuhi akaniamsha nimgonge nikagonga mbili fasta nikaenda kuoga yeye akasubiri nimalize kuoga mimi nikamuaga namtuma vocha mhudumu ndio mazima,sema nilishawahi kukutana naye anasema hakumbuki aliweka wapi hela .pombe sio chai
 
"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????
Siyo mbaya ilikuwa mbinu ya kushinda vita
 
Kuna demu nilifukuzia kwa mda mrefu, lkn alikuwa mtata, mi nikapotezea. Baadaye kanitext mambo nikamjibu poa, akasema naomba pesa ninashida, kwa vile mzee nilikuwa namfukizia mda mrefu Nikajua hii ndo fursa.fast a nkarusha 15000,baadaye nkamuuliza VP ombi langu?dogo kajibu amekubali.zikapita siku kadhaa ,kanitext tena naomba 30000 faster mzee nikatupia. Na hapo bado sijala mzigo.sikumoja kanipigia sim lini twende town akanipetpet?.tukapanga siku tuende gest.siku ikafika Yale mazingira sikuwa mwenyeji sana. Ikabidi yeye ndo anipeleke kwenye gest nzuri. Dogo alionekana mzoefu sana na ile gest nikajiuliza kajuaje huku?.bad ikabidi nianze kuwa makini na huyo demu. Tukaingia gest, kabla ya sex nkamwambia twende tukachek afya kwanza, dogo kakubali,tulipofika getini mwa gest dogo kaanza kugoma. Nilimbembeleza sana lkn dogo kagoma.ikabidi
 
Tehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo
Haaaaaahaaaaaaaaa umenifanya nicheke sana
 
Samahani wadau issue yangu sikumalia tanesco walifanya yao.sasa yule dogo si kagoma kupima, ni nikampa nauli asepe zake.tukawa tumekata mawasiliano tangu siku hiyo. Baada ya mwezi mmoja kupita kunaskendo zikaanza kuzagaa mtaani kwetu kuwa yule dem amemwambukiza mshkaji flani ngoma kwa maksudi. Sikutaka kuamini, lkn nilivofuatilia nikakuta kweli watu wengi wanajua dogo anangoma. Aisee nilijiona ni MTU mwenye bahati mno. Vijana tujitahidi kupima, usimwamini MTU kwa macho
 
Mi huwa nawachana laivu
Mfano mmoja alikuja kukaa na mie ile kuagiza kataja jina la kinywaji ambacho hata sijawahi lisikia hilo jina ikabidi nidakie fasta kwani hiyo bei gani nikaambiwa ni tsh 25000
Nikamgeukia mdada we fulani si uagize tu hizi bia zetu hiyo makitu unayotaka ndo bajeti yangu nzima kwa leo
Nikamwona akawa mdogo akasema nipe castle

Kuna mwingine nilimtoroka gest baada ya kugundua kua nimeingia choo cha kike, ni mbibi.

Yani nilikua bar moja hivi kinondoni, kulikua na birthday part enzi hizo za Kikwete pale bar, mwanamke mmoja akawa anakata mauno balaa, huku nyuma kafungasha balaa ambao ndio ugonjwa wangu mkuu.

Basi nitafta mawasiliano yake nikapata, baadae nikaomba kampani, akakubali, kumbe bwana ni mbibi, yaani ni mtu mzima ila anaonekana na baby face tu. Mtu mzima nikatafta lodge nikamtafune.

Na vile ni usiku sikua nimemuangalia vizuri usoni concentration yangu ilikua nyuma, nikampakia kwenye bajaj hadi lodge, kufika sasa, alipovua nguo ndio nikajua ni mkubwa sana kwangu.

Basi kwa kua nilikua nishalipia lodge nikaona nisipate hasara, nikamtafuna hivyo hivyo kigum gum, baadae alipolala tu kama sa 8 hivi mimi nikamtoroka, nikamuachia 10 mezani.

Haya mambo wewe acha tu.
Mkuu wewe ni bonge la midfielder. Unapanda na kushuka! Beki hazikabi. Nyuma ngumu.
 
Mkuu mlikuwa mmetokea wapi mpk mkafika Msamvu? So mkuu ulihonga viatu!
 
Mi mapigo mkuu. Enzi hizo bado nayaweza acha saiz nineanza kulegea ilikuwa inasimama mpaka tumbo linauma. Basi nikaita dem wangu wa siku zote akaja kulala mpaka asubuhi. Naye alikuwa anayaweza balaa mtoto wa kihaya. Asubuhi akapika chai tukanywa ikabidi nimsindikize nakumbuka jana yake kuna kischana under 18 kilikuwa kinanifatilia balaa, nikiwa nafundisha computer maeneo ya banana. Basi nikapishana nacho kinakuja kwa kwangu, hakikuniona. Msela nikarudi nikijua kinapita tu na mishe zake, kumbe ndo siku hiyo kiliamua liwalo na liwe na kimeshaaga kinaenda kwa dada yake, na sister mtu keshaambiwa siji kwako na wakikuuliza wambie nipo kwako. Basi nikakikuta kinanisubiri nje. Kuingia kikaanza vurugu mpaka tukaishia kugegedana. Basi huyu nlikuwa namchukulia simpo kumbe mchezo anauweza kuliko hata mchumba wangu. Nilipelekeshwa mpaka saa kumi nikawa hoi. Ikabidi nimtoroke kwamba naenda kununua msosi. Basi nikazuga mpaka saa 12. Kurudi akaniambia umenitoroka eeeh basi siendi home nalala hapa hapa. Shida yangu mashine ilikuwa imesimama balaa ila nimechubuka sana. Basi kakalala bwana usiku sijalala kamesumbua usiku kucha. Baada ya wiki nikamuuzia mshkaji wangu alikuwa anajigamba kuumudu mchezo vilivyo. Kalikaa kwake siku tatu anajipimia jamaa akaamua kukaoa ila nikamzuia akanielewa. Basi huyu dada alishaolewa ila nikizungukia mitaa yake lazima mume atorokwe tena si maramoja, anatorokwa hata siku mbili
Duh!
 
Nakumbuka nilikuwa bar fulani nasaga mirungi na mvinyo mdogo×2 mara mhudumu akajipendeza basi siku hio tulipeana kampani kwa kweli ila ss huyo mdada alikuwa mtata wa kupenda pesa sana uzuri alinikuta na mm siku hio mambo financial yamekaa vizur kwahiyo tukamlizana fresh,baada ya kama 2 weeks nikahudhuria tena hapo ila safari hii sikuwa na kitu zaid ya hela kula/kunywa na chumba,kama kawaida yake si akajua danga lake nipo fresh wala hata siku hio sikuwa na wazo la kutaka mwanamke ila kwasababu alijileta nikaona poa tuu,yy umechukua chumba no ngap nikamwelekeza baada ya kufunga bar akaja,baada ya sebene la nguvu mida ya saa 8 usku story 2 3 nikamwambia mm leo sina kitu,aisee mbona aliwakia kwenye gia!,akaniambia asubuh utanijua mm ndio mmachame sikuja mjini kuchekea wanaume,na mm nikafikiria haraka haraka nikaona asubuh huyu dada anaweza kunijazia inzi na kudhalilishana hapa,basi nikambeleza nikamwambia na ww huniwii,nikaomba game akanipa nilipiga show moja ya uhakika naamin hatanisahau huko alipo,baada ya show si akapitiwa usingizi ilikuwa mida ya saa 5 kasoro,na mm sikutaka kuremba nilivaa zangu fresh nikamuaga mlinzi nawahi mabasi ya mkoani chap
 
Back
Top Bottom