Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,306
"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????
 
Saa nne usiku nimeingia na demu mmoja anaitwa Oliver pale Sepetu Guest House mitaa ya Mwinyi Tabora.
Nilikua namfundisha Tution ya Chemistry alikua form five Kaliua Secondary ipo Urambo.

Kucheki nikagundua nimesahau kununua Soksi. Kutoka pale reception muhudumu akasema hana.
Kutoka mtaani maduka yamefungwa yoteee... Kubabake walay...
Nikapiga hesabu, kwahiyo niende nikamtafune nyama kwa nyama??? Akiwa na UKIMWI??

Na hivi kule Kaliua wanasoma mixture nasikia walikua wanagongana kichizi...
Nikasema Astaghfirullah mama yangu ananitegemea mie. Nikapata na wazo la kurudi home usiku sikurudi Guest.
Na hivi sikua na cm, demu sijui alilala peke yake siku ile.
 
Back
Top Bottom