Kama uko Zanzibar nitafute

Ni kweli nawe kila la kheri katika mihanjo yako

Andamana na watu wanaokufanya uwe na furaha na amani, haya maisha si kitu kama hauna furaha na amani ya moyo
 
Duu ni shida aisee ila kiukweli Zanzibar pia kwa sasa imechafuka ushoga umetamalaki kila pembe
 
Balaa sana.

Majuzi kulikuwa na iftaari imeandaliwa spesheli kwa ajili ya mashoga na wasagaji pale maeneo ya kariakoo kuna holi mule ndani basi mahoga walijazana na wasagaji,hyo ilikuwa special kwa ajili yao tu

Basi mkuu wa mkoa akaishtukia akawaandama na kuwatimua,walilalamika sana na kuona wameonewa...
Duu ni shida aisee ila kiukweli Zanzibar pia kwa sasa imechafuka ushoga umetamalaki kila pembe
 
Inasikitisha dunia ndo imefikia hapo ndugu tumuombe sana Mungu watoto wetu wasiangukie katika hii aibu
 
Ndo la muhimu mkuu.

Zenji ushoga nje nje.

Kuna jamaa majuzi nilimuona maeneo ya posta amebeba kikapu na shati la kitenge aisee anatbea kwa pozi,mshua mmoja akamsalimia akaitikia "siijaaamboooh!!!" watu wakasema lahawlaaaa!!!!!

Duuuh!!ndugu haya mambo tukiyaona tunacheka lakini ndo vijana wenzetu wanapotea inaskitisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…