Kama uko safarini hii yakuhusu

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Tuko ndani ya basi wanakuja watu wa usalama barabarani na kutoa maelezo ikiwa ni pamoja na namba zao ikiwa dereva anaendesha basi ovyo ovyo 0682887722

Wanapinga ajali kwa namna yote sote tunapinga ajali na bora dereva
Tumia namba hizo kuwajuza basi ulilopanda,mahali lilipo

Taarifa zako zitakuwa Siri
Hongera kwao
 
Mimi nipo safarini kutoka kijiji cha Kanyelele kwenda Kolomije na ninatumia baiskeli tatzo aliyenipakia kwenye baiskeli anaendesha kwa mwendo wa kasi sana tena hazingatii alama za barabarani...naomba watu wa usalama mnisaidie kumthibiti!
 
😂😂😂😂😂
Naskia anatembea 30km/hr
 
Wangesema tutume meseji maana kupiga simu na kutoa taarifa Kama hiyo ukiwa ndani ya gari hiyo hiyo Tena umekaa siti za karibu na Dereva SI WATAKUMEZA MZIMAMZIMA mkuu
 
Nyinyi ndio mnatuchelewesha kuwahi kufika tunapokwenda
 
Natokea mugumu naelekea chatto kwa wenyewe nipo na punda anaturusha rusha huku wanausalama tu naomba msaada kabla huyu punda hajatumwanga njiani maana safari bado ndefu
 
Niko chato hapa nimepanda punda anapita kwenye traffik light wakati hazijaruhusu
 
Mimi nipo safarini kutoka kijiji cha Kanyelele kwenda Kolomije na ninatumia baiskeli tatzo aliyenipakia kwenye baiskeli anaendesha kwa mwendo wa kasi sana tena hazingatii alama za barabarani...naomba watu wa usalama mnisaidie kumthibiti!
Ruka chini fasta kabla hajagonga bango la call me jei!!
 
Wangesema tutume meseji maana kupiga simu na kutoa taarifa Kama hiyo ukiwa ndani ya gari hiyo hiyo Tena umekaa siti za karibu na Dereva SI WATAKUMEZA MZIMAMZIMA mkuu
Hapo kwenye kutuma taarifa, tumia ajili yako mkuu. Kwenye basi sio kikao cha ccm akili unaziacha mlangoni!!
 
Barabara ziboreshwe gari zitembee huu mwendo wa kinyonga tabu tupu
 
Wangesema tutume meseji maana kupiga simu na kutoa taarifa Kama hiyo ukiwa ndani ya gari hiyo hiyo Tena umekaa siti za karibu na Dereva SI WATAKUMEZA MZIMAMZIMA mkuu
Waweza tuma hata text
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…