Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Me mkaz wa uko but sijaelewa lengo la hap n nn,,nipen bia za bure
Kwanza nianze kwa kukukaribisha katika mwanzo wa sikukuu za Easter. Karibu sana
Leo kuanzia saa 12:00 jioni nitakuwa Golden Rock Pub - Buzuruga; baada ya hapo hali ndo itanambia pa kuhamia.
Kesho nitakuwa Chanya - Nyakato National ....
J.mosi nitakuwa Villa - Kirumba .....
Easter nitakuwa Tunza nikiwa na familia ....
J.3 ya Easter nitajifungia na my baby hadi pale tutakapoamua kutoka kwenda Grocery.
Karibuni sana wana - JF mlioko ndani ya Rocky city.
Kumbe members wanaoishi
mwanza ni wengi eeh!wakuu Itabidi tupange Siku tukutane na tufahamiane
Maana huo ndo umoja
Kesho asbh sokoni, mchana kanisani. Jmosi villa park then mwz hotel. jpili kanisani then malaika beach na familia. J3 mtaani kwangu kiseke ppf, karibuni