Kama tusipochukua hatua Tutakuja kulaumiwa na wajukuu zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama tusipochukua hatua Tutakuja kulaumiwa na wajukuu zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gembe, May 22, 2009.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  sihitaji kuongea mambo mengi ila habari ndiyo hiyo!

  Naona kama wameshatuelemea na hatuji tufanyaje,Sanduku la Kura limeshatengenezwa na siyo mbali sana ni kama mwaka bado!

  Mkishindwa kupanga safu nzuri sasa,nawaapia mtakuja kujuta na wajukuu zenu watalaam kizazi hiki kwa maombi.Watatuona mandondocha!

  Nilifanya makosa mwaka 2005,na najuta sasa kwanini sikumsikiliza John cheyo aliyeniambia simjui huyu mtu na nikawa na kiburi,inawezekana na wewe ni mmoja wao!

  Hivi ulishawahi kufikiria kuwa,kama madini yakiisha,mbao zikaisha,wanyama waliopo mbugani wakaisha,Nchi itaendeshwa vipi?

  Je ulishajiuliza kama mvua zisiponyesha miaka miwili ,Tanzania itapataje Umeme?


  Tuna uwezo wa kuamua mapema,kazi kwenu....one year to go!

  Gembe.
   
  Last edited: May 22, 2009
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Gembe,
  Usiseme ukweli mno, wengine tuna presha ya

  kushuka! Utaua aisee!!!
   
 3. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Research zilishafanyika na Report zipo wameziweka kwenye Makabati zinapigwa Vumbi. Kinachofanyioka ni Siasa tu......Porojoporojo na Ujanja ujanja ili wachache wafaidike.

  Sidhani kama wanaona 10yrs to come? wanangalia leo watakula nini............... eti kesho itajipa yenyewe.

  Kazi tunayo na Mungu atusaidie
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Ukiangalia hata vision ya wanasiasa na viongozi wetu wote ni ya "kesho kwani utakuwepo? jali ya leo."

  Kwa kweli ni kitu cha kusikitisha sana kuona hata maprofesa waliojaa serikalini hawawezi kusimama na kusema huu ndio ukweli!

  Suala kama la umeme, kilimo, maji na mambo mengine utadhani watu wameahidiwa na Mungu kwamba mvua zitakuwepo milele. Hakuna anayejiuliza kwamba hivi mvua isipokuwepo kwa miaka 5 je wananchi wataishi vipi?

  Inasikitisha!!
   
 5. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Kwa taarifa yako Miti ya mbao huko Mufindi Wakenya wameshaimaliza , ndiyo maana hata magogo ya nguzo za umeme hakuna wanataka kuagiza South africa!!!! rotten Gov. xxx****&&&&&2***2***88** !!!!!!
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2009
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nchi imeendeshwa kwa lais sez-faire kwa muda mrefu. Tuchukue hatua!!!!!!
   
 7. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Pole Mkuu,

  Ila inatisha sana,Mie nimeanza kuogopa!

  angalia Picha ya GT,kama Mjini tu watu wanafanyia Mitihani nje kwenye miti hapo mbagala tu,Je huko Nyumbani kemakorere vipi?

  Mie nahisi viongozi wetu watakuwa merogwa ..haingii akilini kabisa,kwanini siye ni masikini..

  hata ile picha ya jana kati ya Jk an Obama,Inaonekana Obama akishanga sana,inakuwaje huyu jamaa ana matatizo yamejaa kurasa nne na wakti huo huo kuna Mlima kilimajaro ,madini na kila kitu..

  Mtu kama ukishindwa unasema nimeshindwa,naombeni muda au kama vipi unaachia ngazi tu
  Hivi yale maombi wanyofanya huko Tz kila mwaka huwa yanasaidia kweli,au huwa wanawaombea ili wanedelee kutawala?

  yaani mie sielewi kabisa,sijui mwaka 2010 wataeleza mafanikio gani?labda tulishinda miss earth,na thabeet atakuwa amepata timu Us
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  In reality we are late, lets pray that for God Almighty to intervene otherwise mhh hali ndivyo sivyo.
   
 9. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiria nuclea enegy is the best ask Eliasi Mahegere how
   
 10. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujinga wa baba wa taifa kutunza mali ya asili wa kwa vizazi
  busara yaMkapa kukomba vyote mpaka kumiliki kiwira
   
 11. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Maamuzi yako mikononi mwetu. Kura yako ni ya muhimu sana. Tusikubali kushawishika na kuuza utu wetu kwa chakula cha siku moja. Hizi khanga na T-shit zitatumaliza.
  Unapokubali kurubuniwa njia yoyote ile iwe ni pesa/khanga na T-shit, hiyo ndo inakuwa price tag yako (Kitambulisho cha dhamani yako)kwa muda wa miaka mitano.
   
Loading...