hawa jamaa hawafai, wao watuibie wao watuwekee luku na wao watufundishe namna ya kuchakachua wakishagombana wanatoa siri
nipeni muda mtanipm (nimtafute mtaalam) niwapeni maujanja km ilivyo kwa modem za huawei,
nasikia kuna no. Za kuingiza ili kucheck salio km ulichakachua
zipo no. Za ku-pause au kstop du ngoja nistop na mm
hiwezekani mvua zetu, gasi yetu wenye symbion hata hawafiki wa3 wanakula hela yetu kiulaini