Inasemekana De facto president ni Mafwele, huyo bibi ni picha tu hapo mbele.Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ?
Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?
tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae kuwa maiti zinazotembea .
vyovyote itakavyokuwa , kinachoumiza moyo ni vile kuona watanganyika wenzetu wanavyobagazwa kwenye Taifa lao mchana wa jua kali ,inaumiza moyo sana.Inasemekana De facto president ni Mafwele, huyo bibi ni picha tu hapo mbele.
Ila jombaa hii #Tag umeiweka kidwanzi dah! na siyo Mr BiG tena 🤣 lile kumbato plus na vile alivyoreact design dots zinaconnect hivii .Inasemekana De facto president ni Mafwele, huyo bibi ni picha tu hapo mbele.
Inaumiza sana ila hatuna namna.Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ?
Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?
tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae kuwa maiti zinazotembea .
Wazanzibari wananufaika sana na huu uongozi.vyovyote itakavyokuwa , kinachoumiza moyo ni vile kuona watanganyika wenzetu wanavyobagazwa kwenye Taifa lao mchana wa jua kali ,inaumiza moyo sana.
Kwa kinachoendelea ,huwa napata tabu sana pale ninapomuona mtanganyika mwenye akili timamu akakubali kukubaliana na huu unyang'au unaofanywa na hii serikali .
Kosa la namna ile yangelikuwa mataifa ya watu wanaishi kwa kanuni , lilitosha kumfurusha Ikulu, ila kwetu hatuko seriously kabisa aisee.Anakwambia katiba ni kitabu tuuu!! Meanwhile bila hiyo kitu hasingekuwa pale… imemuweka anainyea. Sema siku hiyo alikuwa tungi, msikilizeni vizuri 😆😂
Alifanya hivi hivi rais wa korea kusini mwaka jana. Haikukaa wiki jeshi na bunge likamtoa chap chap!Kosa la namna ile yangelikuwa mataifa ya watu wanaishi kwa kanuni , lilitosha kumfurusha Ikulu, ila kwetu hatuko seriously kabisa aisee.
Na sisi ndiyo tunauwezo wa kutoka au kubakia kwenye tatizo.Maandamano yakifeli, basi tujiandae kwa mazito zaidi ya haya
Ukiwasikia vijana wanavyokandia unaona kama taifa bado sanaNa sisi ndiyo tunauwezo wa kutoka au kubakia kwenye tatizo.
Huwa nawahurumia sana hasa wale wanaoona haya maandamano nikama hayawahusu.
Wengi wao bado wapo Bongo.
Wengi wao bado hawana kipato cha uhakika.
Wengi wao hawana watetezi .
Kwa mazingira haya ,hao nizaidi ya wakulima ,yaani wasipofanya uamuzi wa kukamata jembe na kuamka asubuhi kwenda shamba ,basi wajiandae kwa njaa ,maana nilazima itaingia ndani mwao.
Hawa ni wale wanaojilazimisha kujitenga na maandamano .
Shetani hana adui wa kudumu .
Bado utakuta kunawatu hilo tatizo wameshindwa kabisa kuliona, utakuta bado wanabana pua nakusema #eti October tunatik ,huwa ninawaangaliaaa then nasema eeh! Mungu wangu ,amekukosea nini mtu huyu🤣🤣 mbona umemnyima ufahamu namna hii?Imagine mtu amechana tu bango la picha ya mgombea wa uraisi, anatiwa mbaroni, kisha anaambiwa hastahili tena kuendelea kuishi.
Yaani huku ndio tulipofikishana...
Hivi mfano angekuwa amechana bango la mgombea wa CHAUMA angechukuliwa hatua hizi hizi?,
Kweli tumeruhusu kuongozwa na majitu ya ajabu sana.