Kama Taifa hatuwezi kuwa na Rais ambaye anatoka nje ya mfumo wa siasa?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,312
2,000
Ninachotaka kusema ni hivi kama nchi hakuna kweli uwezekano wakupata Rais ambaye ajawai kuwa diwani, mbuge, wazir au raisi? Why should we intertein them?

What have they proved to us that we need to keep trusting them? Can't any other take the chance to lead the national into green pasture?

Sorry I'm confused but i do think we have some potential figures who are out of politics but can do better than those who are in.
 
Andresen

Member
Feb 21, 2019
43
125
Naomba usubiri maajabu yatakayotokea 2020 kwa wagombe wa urais kupitia ccm.

Mimi ni mtu pekee nitayejitokeza kumpinga jiwe ndani ya ccm , na nakuhakikishia sijawahi kuwa hata diwani au mbunge but I assure that I will be the next President after jiwe.

Muda utaongea ndugu,
 
Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,312
2,000
Naomba usubiri maajabu yatakayotokea 2020 kwa wagombe wa urais kupitia ccm.

Mimi ni mtu pekee nitayejitokeza kumpinga jiwe ndani ya ccm , na nakuhakikishia sijawahi kuwa hata diwani au mbunge but I assure that I will be the next President after jiwe.

Muda utaongea ndugu,
If u don't mind can u address anything to us.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom