Kama SpamGuard kwenye E mail iko OF

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Wakubwa,napata shida sana kutumiwa message zisizo na maana hasa zinazopitia Spam badala ya kwenye Inbox ktk e mail.Awali nilikuwa nimei-OF ili nisizipate kwenye e mail yangu lakini bbaadhi ya watu walalamika kwamba wananituimia message lakini nilikuwa zisioni kwa kuwa zilikuwa haziko ktk inbox wala spam nk

hata nilipoi-ON sasa baadhi ya Message za maana zinapita SPAM hivyo nikifunga nawweza kupoteza message muhimu.Lakini na message za kipiuuzi hasa za kitapel zinapita huko,Sasa mnanishauri nifanyeje.Niifunge SPAM Kabisa?

Kama sijaeleweka ,niko tayari kufafanua

asante
 
Back
Top Bottom