Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 296
- 811
Kimaumbile hakuna tofauti kwa watu wote, Iwe mwafrika, Mchina, etl mfumo uko sawa, Inashauriwa sharti uchutame ili mzigo ushuke vyemaMaumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Hio Point tuseme kapuyanga achana nayo, Hizo nyingine Vipi?Kwamba maumbile ya muafrika na watu wa asia ni tofauti kwenye kufunguka?
Siku hizi vijana wanaingia na smart phone chooni Sasa wataperuzi vipi wakichuchumaa?Ni kwel, kwenye hvyo vyoo vya kukaa kuna wakat gogo huwa linagoma kutoka
Kwangu sio za ukweli. Muhimu watu wale matunda kwa wingi maana poop ngumu hata ukichuchumaa haitoki na laini hata ukikaa inatokaHio Point tuseme kapuyanga achana nayo, Hizo nyingine Vipi?
Hapo kwenye madhara, namba 1 naomba ufafanuzi kidogo.Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi!
Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa!
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa!
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja)
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya!
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa!
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha BAWASIRI
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kuisaidia
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile!
Hata kama unafundi wako ni bora zaidi kumtumia Samico Tanzania kama rafiki mshauri kwenye ujenzi na umeme! Kuna watu mpaka leo hawana namba yangu. Huko insta ..@ Samico_Tanzania
View attachment 2886667
Mimi naishi mpitimbi bila picha sijuiMimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu!

Ndiyo mkuuKwamba maumbile ya muafrika na watu wa asia ni tofauti kwenye kufunguka?
Chawa picha ipo kule juuMimi naishi mpitimbi bila picha sijui
Weka picha mkuu ili tuone ugumu ulipoKwangu sio za ukweli. Muhimu watu wale matunda kwa wingi maana poop ngumu hata ukichuchumaa haitoki na laini hata ukikaa inatoka
Hupaswi kutumia simu au kusoma gazeti ukiwa unajisaidia kwasababu lile tukio la kujisaidi linahusisha ubongo kama swichi ya kufungua sehemu ya haja ifunguke!Siku hizi vijana wanaingia na smart phone chooni Sasa wataperuzi vipi wakichuchumaa?