Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

LEMA KWANZA WENGINE BAADAYE, NARUDIA LEMA KWANZA. Chadema ikiingia huo mtego wa kuvuruga safu yake nayo itakufa. Adui muombee njaa, ARUSHA tunamtaka LEMA kama tulivyompigia kura, hata kama alitukana kwani matusi yanapiga kura???? kwani mawaziri wangapi wametukana tena taifa sio mtu au kikundi cha watu bado ni mawaziri?? mtakula nyasi, pigie mbizi, kila mtu atauchukua mzigo wake wakati wao wakibeba mzigo wa manyoya na sisi kutufungia mizigo ya misumari, ufisadi nk.
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)
kweli hizo stahili za magamba hazikubaliki cdm. Huwezi ukamuengua lema eti kwasababu hatakiwi na system huu ni uchuro. Nahisi mjambo wa ccm humu kwenye hii thread. Lema atasimama twende step kwa step kwanza stahili waliyotumia magamba kumng'oa lema haina mshiko wowote ule. Haki bin haki muache lema asimame kwa miguu yake na chama kitakuwa nyuma yake utawaweka wapi wapiga kura 50,000 waliompigia 2010. Je una fikiri hao walipigia cdm au walipigia cdm kwakuwa imemsimamisha lema . Jiulize kwanza , dr. Slaa alipata kura ngapi na freeman mbowe alipata ngapi then unconclude kuwa nanyaro achukue nafasi ya ugombea adios.tuache, muda ukifika basi cdm wataamua
watanzania tunapenda sana speculation za papara
wakati wa dr na ubunge umekwisha ni wakati wake wa kuchukua majukumu makubwa ya kitaifa na wala si ya jimbo.
Siungi mkono hoja. Lema anatakiwa agombee tena Arusha mjini.