UTANIPENDA
Member
- Feb 25, 2012
- 31
- 12
Hakuna hukumu inayokaa kimtego. Hati ya hukumu itajieleza wazi kama amezuiwa ama la.Ile hukumu imekaa kimtego, kwa ilivyo kaa lema akigombea, watamuwekea pingamizi tu na tume yetu lazima watamtoso tu
Jimbo la arusha mjini lisiachwe wazi na ni mwiko kwa jimbo kwenda ccm.
CHADEMA mtumieni huyu katibu wa mkoa Amani Golugwa kugombea ubunge wa arusha mjini. Nasikia ni rafiki mkubwa sana wa Lema na tunavyomjua ni mtu mwema sana na Lema ataweza kutembea naye kwa urahisi kufanya nae kampeni maana ni rafiki yake.
Iwapo mtakata rufaa na ccm wakaendelea kucheza rafu zao dhdi ya Lema jamani changisheni karata vizuri.
Kutokana na Kile kinachoendelea baada ya Lema kufuvuli ubunge huku hukumu ikigubikwa na utata wa kisheria ambao unaonekana kuwa ulikuwa umepangwa etheir kwa chuki kwa Lema au CDM.Wanabodi wengi wametoa ushauri kwa kuzingatia utaalam wa kisheria na siasa kwa ujumla. Naungana na Thread ya Luteni ambayo ameshauri lema apewe kazi nyingine ya kujenga chama na kwa jimbo la CDM imsimamishe Kamanda Nanyaro kutetea Jimbo!
Haya Ni mawazo yangu tunaweza kuyaboresha kama inafaa lakini bottom line tunataka kutetea jimbo la Arusha.
Naomba kuwasilisha