Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.🤣 🤣🤣🤣Kwa hiyo sasa hutaki tena kukumbuka jinsi ulivyokuwa unajitahidi kuupaka rangi UDIKTETA ili sio tu kuupendezesha bali pia kuweka mzingira ya 'kutosahauliwa'?. Kama ni kweli basi ninakutakia heri ingawaje itabidi kukuangalia kidogo kabla sijakuamini.
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi,
Tanzania ni nchi inayofuata Katiba na kuendeshwa kwa utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata sheria hizo, taratibu na kanuni, pia kuna mamlaka ambayo katiba imempa rais wetu wa JMT kuyatekeleza at his pleasure, yaani vile rais atakavyoona inafaa, ikiwemo presidential appointments powers, and the power to hire and fire civil and public servants!.
Kwa hali ninayoiona sasa, Rais Magufuli anakoelekea, asipodhibitiwa, na vyombo vya udhibiti ambavyo ni Mhimili wa Bunge na Mhimili wa Mahakama, very soon kuna watu sio tuu watalia na kusaga meno, bali Tanzania kama nchi na taifa, tutaumia!.
Jee kuna ubaya tukimshauri rais wetu, kama huu anaoufanya sio udikiteta?!, then ni bora sana, Mhe. Rais aka "Futilia Mbali Utawala wa Sheria, akaiweka katiba pembeni kwa muda kidogo tuu (wa miaka 20 au 30, sio kama Mugabe, Kageme au Museveni,)kwa kutangaza hali ya hatari?!", na ndipo sasa ainyooshe nchi, na ikiisha nyooka ndipo airejeshe katiba.
Mnaonaje mkiungana na mimi, tumshauri rais wetu ili kuyanyoosha mambo yake vizuri, awe na mamlaka ya kufanya kila anachotaka, mnaonaje kama tutamshauri asitishe utawala wa sheria kwa muda, badala yake aongoze kwa kutumia presidential decrees pekee?!, mambo yakiisha tengamaa, ndipo turudishe utawala wa sheria?!.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli atimize majukumu yake kwa mujibu wa katiba.
Paskali
Wanabodi,
Tanzania ni nchi inayofuata Katiba na kuendeshwa kwa utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata sheria hizo, taratibu na kanuni, pia kuna mamlaka ambayo katiba imempa rais wetu wa JMT kuyatekeleza at his pleasure, yaani vile rais atakavyoona inafaa, ikiwemo presidential appointments powers, and the power to hire and fire civil and public servants!.
Hata kama Dr. Magufuli ni rais wetu, haina maana ana inherent powers kuamua chochote na watendaji walio chini yake kazi yao ni kusema tuu "'YES!", "ndiyo mzee!". Wasaidizi wa rais, wanawajibu wa kumsaidia rais kutimiza majukumu yake ya urais kwa mujibu wa katiba kama alivyoapa kuilinda na sio kufanya kama anavyojisikia yeye!.
Kwa hali ninayoiona sasa, Rais Magufuli anakoelekea, asipodhibitiwa, na vyombo vya udhibiti ambavyo ni Mhimili wa Bunge na Mhimili wa Mahakama, very soon kuna watu sio tuu watalia na kusaga meno, bali Tanzania kama nchi na taifa, tutaumia!.
Jee kuna ubaya tukimshauri rais wetu, kama huu anaoufanya sio udikiteta?!, then ni bora sana, Mhe. Rais aka "Futilia Mbali Utawala wa Sheria, akaiweka katiba pembeni kwa muda kidogo tuu (wa miaka 20 au 30, sio kama Mugabe, Kageme au Museveni,)kwa kutangaza hali ya hatari?!", na ndipo sasa ainyooshe nchi, na ikiisha nyooka ndipo airejeshe katiba.
Paskali
JF is very interactive social forum, people always, came and go!, kila siku kuna members wapya, hivyo kwa faida yako, angalia tarehe za hoja hizi ujue kama zilipandishwa akiwa hai au amelala!Kitu pekee Mayalla ulicho nacho , wewe ni storyteller , Na unajua ku flow na upepo. Sitegemei kama ungeweza kutamka kuwa JPM is a dictator wakati wa Uhai wake
Utamkosoaje bosi wako kwa ukali?.Pascal tumia akili kama msomi. Ulitaka waseme wauawe, wapotezwe, wabambikiwe kesi za uongo? Tumia akili!
Nipe thread yako yoyote uliyomkosoa Magufuli Kwa ukali
Kuna wengi humu wanadhani kupotea kwa Ben Saanane ni shauri ya issue ya Ph.D ya mchongo!. Not necessarily!.na kumpa ukweli kama Ben saanane alivyofanya kuhusu PhD ya mchongo.
Kati ya watu ambao hatukuwahi kukaa kimya, mimi ni mmoja wao.Nawe ulikaa kimya na uliposema ulisifia kupata uteuzi