Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Habari jf-members
kama si pesa, je unaweza kuendelea kufanya kazi unayofanya sasa?
Kuwa mkweli
kama si pesa, je unaweza kuendelea kufanya kazi unayofanya sasa?
Kuwa mkweli
Utafia hapo alaaah😂mi hata sipati pesa ya kueleweka ila nipo kwa ajili ya kupata ujuzi na kusoma mchezo ili siku nikiamua kutoka basi nisirudi nyuma kizembe
sa nitafanyaje wakwetu acha nipambane,, kukata tamaa ni haram😅😅Utafia hapo alaaah😂
Haram eeh😂sa nitafanyaje wakwetu acha nipambane,, kukata tamaa ni haram😅😅
nipo hatua za mwisho red,,,endelea kuniombea🤗Haram eeh😂
sio ukate tamaa bali uchange plan
Bingonipo hatua za mwisho red,,,endelea kuniombea🤗
lugha hizo,, sa bingo ndo nini🥴Bingo
lugh ya kijeshi hio,lugha hizo,, sa bingo ndo nini🥴
sasa mimi na jeshi wapi na wapi yawa🤨😅 uwe unanieleza taratibu mi bado mgeni💃🙂lugh ya kijeshi hio,
Yani ukifanikiwa kutoka hapo ni kama umeshinda bingo/jackpot.
win Bhana😊sasa mimi na jeshi wapi na wapi yawa🤨😅 uwe unanieleza taratibu mi bado mgeni💃🙂
abee umeniita?win Bhana😊
Yani wewe😆abee umeniita?
si useme bwana aaaah utaniudhi😉Yani wewe😆
unakorofi sanasi useme bwana aaaah utaniudhi😉
ka chini chini au vip red💃unakorofi sana
yeaH ka siri sana mtu akikuangalia kwa haraka harka hawez kutambua Hiloka chini chini au vip red💃
umeanza kutoa siri sasa nitakukimbia🙈yeaH ka siri sana mtu akikuangalia kwa haraka harka hawez kutambua Hilo