Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
asalam aleykum!
Bwanayesu asifiwe!
Habari za muda huu!
Mimi nina girlfrnd wang takribani huu ni mwaka na nusu na kila nikimwambia kuhusu issue ya kuchimba/kusex ananipiga kalenda anadai yeye ni bk,in short hali hii imenichosha na kila nikijaribu kumtema nashindwa kabisa yaani naweza nikamtafutia visa ila mwishowe naishia kua mpole
kwa kuona hiyombinu ya kumuacha nimeshindwa nikaamua kutaka kumcheat ila nayo nimeshindwa but kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nilisha wa tongoza mademu zaidi ya 6 na kuhusu na huwa na huwa nakubaliana nao tukutane somewhere ili niweze kuchimba wanakubali!
Ila siku/muda ukifika wanazama mitini naishia kuchomeshwa mahindi!
Hiyo 9 kumi juzijuzi nimewafuata ma dadapoa ila nilichoka pale niliposhindwa kula mzigo
kutokana na hayo matukio nahisi kama huyo gorlfrnd wangu kaniroga maana ni full harakati za pimbi
jamani bandugu nyie mnaniambiaje/nifanyeje?