Hamna Okello ni victim mwengine katika mikono ya Mwalimu, ni yeye Mwalimu aliyefitinisha mpaka akafukuzwa kisingizio Okello alipanga na wanajeshi waasi kuipindua serikali yake, akamuagiza Karume amfukuze na kumrejesha kwao, na akina Jaha Ubwa walimchukuwa kwa ndege mapka Kenya wakati huo Mwalimu alishazungumza na Kenyatta asimpokee Okello na alipokwenda kwao Uganda Mwalimu alimwambia Obote "hatari" ya mtu kama Okello naye akamfukuza, akakimbilia Msumbuji kujiunga na FRELIMO bila kutaka.
ZAIDI REJEA:" ZANZIBAR REVOLUTION" by John Okello. kw maneno yake mwenyewe.